Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Usingetukana hapo mwishoni mkuu, maana ulikuwa tayari na bonge la pointi. Hawa jamaa wanataka kiongozi "ngunguri" kama Mr Kiduku. Hapo wanakuja wenyewe kukusalimia. Re: Kisiwa cha Kyuba, Iran, Venezuela nkHuyu ni wa kufukuza tu kwani haoni watu hawataki fujo wanataka wafanye kazi zao kwa uhuru? Yan mtu avunje sheria afanye anavyotaka kisa tu mko nyuma yake kama nchi kubwa?? Mbona kiduku kawashinda kule korea kaskazini..nyie mkitoa matamko yeye ana test mitambo mbona mmemkimbia mnahamia ohh waachiwe....mbwaaa nyieee kummaaamae zenuuu
Yaani kwa akili zako ndogo unaona huyo balozi anakusaidia kabisa? Ameshindwa kusaidia black wa kwao aje akuaaidie wewe? Shtuka nduguKwa ukandamizaji huu ulitaka nani awasaidie wanyonge wanaokamatwa kamatwa kila siku. Mungu anayetajwa na JPM siyo tunayemhua ndio maana anafanya anayoyafanya
"Blair, keep your England; let me keep my Zimbabwe!"Huyu balozi naona anataka PI tu au ana immune? My ribs. Our Dictotorship cannot be argued by a mere Beberu. Leave our Tanzania alone.
Muombe visa ya kwenda nchi yao kama atakupa basi. Kwao si anasema kuzuri na mawasiliano bwelelekwani alichoongea cha uongo.nikipi ckweli kuwa mawasilino yanasumbua au co kweli kuwa viongozi wa upinzani kuwa wameshikwa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anaweweseka anapoona Tanzania ina imarika kiuchumi na huku jemedari wetu Magufuli anazidi kubarikiwa na M/Mungu katika kulijenga Taifa letu Tanzania
Mungu ndiye mkuu na Jiwe kakataliwa na wananchi woteSasa ndio mtajua Mungu na shetani nani mkuu
Akili zako zina akili kweli?Huyu baba hanaga kazi zingine? Kwa Kenya huwaga aanaside na serikali kukandamiza wapinzani kwa Tanzania wanaside na wapinzani dhidi ya serikali. Wamerekani wanafiki sana jamani
Sawa, naomba uniambie nani kawakataza wasitoe matamko?Ona ulivyohujielewi kama viongozi wako wa chama
Itafikia hatua wanatamani wangekua wao ila.Ndio hivo baraka ni za jemedary MAGUFULI,maana ameweza kudhibiti kila kituAnaweweseka anapoona Tanzania ina imarika kiuchumi na huku jemedari wetu Magufuli anazidi kubarikiwa na M/Mungu katika kulijenga Taifa letu Tanzania
ACHA wahangaike maana lengo lao halikutimia,kwa sasa tumesema basi kutawaliwa na mabeberu,hivyo wanapoona mobaraka ya Mungu kwa Magufuli wanateseka sanaHivi huyu baba hanaga kazi zingine? Kwa Kenya huwaga wanaside na serikali kukandamiza wapinzani kwa Tz wanaside na wapinzani dhidi ya serikali. Wamerekani wanafiki sana jamani
Umezaliwa juzi utajulia wapi wewe! Unamjua mtu anaitwa malaga? Ila wote wakawa wanamsaidia uhuru wao. Jifunze kufuatilia mambo magumu.Kenya wanakandamiza wapinzani kama bongo??FOOL YOU
Tunajanga la mkoloni mweusi na Jiwe, hili ni janga kubwa sanaWewe naona halimashauri ya kichwa chako sio sawa unaona sisi hapa kwetu tuna janga gani au hujielewi
Usisahau pia kwamba kuzuia mabadiliko yanayoweza kuleta madhara kwa mtu ama taifa kijumla, nayo ni mabadiliko. Na ni jukumu la kila mmoja wetu kuchagua welekeo sahihi wa mahali tunapotaka kulipeleka taifa letu. Ukiacha kufanya maamuzi sahihi, automatically unakuwa umefanya uamuzi mbaya.Mabadiliko ni nature katika maisha ya binadamu hapa duniani
Yawe na matokeo mazuri au mabaya !
Kwa hiyo unaungana na polisi walochofanya dhidi ya viongozi Wa upinzani?.Huyu baba hanaga kazi zingine? Kwa Kenya huwaga aanaside na serikali kukandamiza wapinzani kwa Tanzania wanaside na wapinzani dhidi ya serikali. Wamerekani wanafiki sana jamani
Lakini pia ujue Marekani hakuna sheria kandamizi. Mfano kwenye Uchaguzi huu Halima Mdee kwa kushirikina na Polisi walikamata kura kwenye mabegi. Lakini badala ya kuwakamata wahusika wa mabegi hayo, alikamatwa mtoa taarifa za uwepo wa kura hizo yaani Halima Mdee.Nadhani atujibu Je Marekani kuna mtu yupo juu ya sheria?? Atuambie asijifanye ana mahaba ya kipuuzi, kama anawapenda wahalifu awapeleke huko huko marekani ila sio Tanzania.
Mpigeni ndani,asilete mchezo na serikali ya jiwe.Huyu balozi wa Marekani naona anawashwa
Kwa kauli kama hii sishangai hata kidogo kwa nini raia waliwakataeni kiasi kikubwa hivyo kwenye kisanduku cha kura.Acha kutapatapa bisheni muone nguvu ya beberu kama gadaff alisurrender jiwe ni nani
Usisahau na mapinduzi piaSisi CCM ni "UJAMAA NA KUJITEGEMEA", usitegemee hizo nguruwe zitatupenda.
Acha kupanic kaa kwa kutulia na usubirie matokeo.Huyu balozi serikali imemuendekeza sana, ni muda muafaka ajue Tz ni nchi huru, wakati hao wajinga wake wanajaribu kutoa matamko ya kuleta vurugu hakusema neno, kuendelea kumuendekeza balozi wa namna hii ataleta matatizo , afanye anachotaka ila hao wajinga wa CDM sheria ichukue mkondo wake, hamna kucheka na ujinga.