Uchaguzi 2020 Balozi wa Marekani nchini Tanzania: Serikali ihakikishe usalama wa Viongozi wa Upinzani, iwaachie waliokamatwa na kurejesha mawasiliano kwa wananchi

Uchaguzi 2020 Balozi wa Marekani nchini Tanzania: Serikali ihakikishe usalama wa Viongozi wa Upinzani, iwaachie waliokamatwa na kurejesha mawasiliano kwa wananchi

Umekandamizwa nini wewe? Internet yetu ina muhusu nini yeye? Na mbona haulizi kama tunakula?
Shitukeni huyo balozi ni ibilisi kavaa ngozi ya kondoo
Unakula wewe?? Acha Zarau.miguu ya kuku na vichwa vya kuku, unajiona mjanjaa.
 
Eti mkuu alietufanya OMBA OMBA ni nani mwengine km sio waliotawala NCHI kwa miaka 59.
Sio wanatamani hao ni viranja wa dunia tayari.
Tokea 1961 TZ imeshindwa kuwa kiranja EAST AFRIFA Leo mtaweza kuwadindishia viranja wa dunia
Baelezee hawa mazezeta wa jiwe
 
Kweli sijui kitu. Mitandaoni kuna watu wana mikwala sana. Ila sidhani kama wana maanisha wanayosema na kufanya. TL na wenzake wamebaki wanashangaa wale wajaza mikutano wameenda wapi?
Mbona tunawaita wanaendelea na mambo yao kama vile hawatujui
Huyo Mzungu wao alifanya vyema kuwatahadharisha watu mapema kuwa lengo lake kuu hasa ni fujo, machafuko na mauaji kwa vile hakuacha kusema: "Hawawezi kutuua wote! Hawawezi!" "Mwaka huu hapatatosha!" "Patawaka moto!" Sasa raia wakaona isiwe taabu maana wao wanatafuta maendeleo na wala siyo kuweka rekodi ya kuwa wahanga wa kwanza kwenye uzushi wa wengine. Walifanya maamuzi sahihi kabisa na wala hawayajutii ndiyo maana hawataki kuandamana hata chembe.
 
Marekani ilikuwa ya zama za Bush Jnr huyu Trump naona kama anahubiri demokrasia kinafiki kwani anacheza sana na madikteta.
Hata Bush snr, ambaye aliamuru Manuel Noriega rais wa Panama aliyekuwa madarakani wakati huo akakamatwa nchini kwake, akawahishwa US, akashtakiwa na kufungwa miaka 30
 
Unawaza kunyonya? Kiwango chako cha uelewa bado. Huyo anasema alikuwa Tz miaka thelathini iliyopita kama daktari wa kujitolea. Sasa kaja kama balozi wa nchi yake. Anachosema anakijua. Hawashwi kwa maana yoyote. Mimi niliwaandikia waelewa. Huelewi kitu. Kaa kimya kujisitiri. Unapayuka!
Acha kuwa na kichwa boksi, Suala la yeye kuwa Tanzania miaka thelathini iliyopita haimpi uhalali wa kuhoji mambo ya Tanzania, anachokisema hakijui, na anawashwa kwa maana huko kwao wanawauwa watu weusi kila kukicha na hatujawahi kumuona akizungumzia hayo, hivyo yeye ni mshenzi kama washenzi wenzake.
Nenda kamuulize kama kwao Mtu anayevunja sheria anakuwa yupo juu ya sheria kwa sababu tu za huyo mtu kuwa kiongozi wa chama fulani cha siasa?
 
Nenda kamuulize huyo balozi wa marekani, Je Marekani mtu anayefanya makosa huwa hapaswi kukamatwa eti kisa tu yeye ni kiongozi wa chama fulani cha upinzani? Atuambie je Marekani viongozi wa vyama vya upinzani wapo juu ya sheria?
Mwenye kujua makosa ya mtuhumiwa ni hakimu, nje ya hapo ni ukiukwaji wa katiba. Kwa katiba iliopo, kuandamana ni haki ya msingi ya mwananchi.
 
Yalianza hivi hivi tweet, baadae vikundi kisha maangamizo . Kuna watu wananzani watabaki salama kisa wanamiliki bunduki na wanaviapo
 
Interest zao kwa nchi yetu tunazijua hatutawaruhusu watupangie mambo yetu...
 
Huyu baba hanaga kazi zingine? Kwa Kenya huwaga aanaside na serikali kukandamiza wapinzani kwa Tanzania wanaside na wapinzani dhidi ya serikali. Wamerekani wanafiki sana jamani
kwani alichoongea cha uongo.nikipi ckweli kuwa mawasilino yanasumbua au co kweli kuwa viongozi wa upinzani kuwa wameshikwa?
 
Huyu balozi naona anataka PI tu au ana immune? My ribs. Our Dictotorship cannot be argued by a mere Beberu. Leave our Tanzania alone.
 
Huyu baba hanaga kazi zingine? Kwa Kenya huwaga aanaside na serikali kukandamiza wapinzani kwa Tanzania wanaside na wapinzani dhidi ya serikali. Wamerekani wanafiki sana jamani
Kwa ukandamizaji huu ulitaka nani awasaidie wanyonge wanaokamatwa kamatwa kila siku. Mungu anayetajwa na JPM siyo tunayemhua ndio maana anafanya anayoyafanya
 
Back
Top Bottom