MADAM T
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,747
- 2,977
Nimkune wakati wewe upo!Kamkune basi asikie alafu mfikie ujumbe wetu... tusaidie ujumbe umfikie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimkune wakati wewe upo!Kamkune basi asikie alafu mfikie ujumbe wetu... tusaidie ujumbe umfikie
Umepanic ? tulia mammalia sindano zizame muda wa spana umeishaWe nani unatuamrisha. Tokea huko na umbea wenu
Unakula wewe?? Acha Zarau.miguu ya kuku na vichwa vya kuku, unajiona mjanjaa.Umekandamizwa nini wewe? Internet yetu ina muhusu nini yeye? Na mbona haulizi kama tunakula?
Shitukeni huyo balozi ni ibilisi kavaa ngozi ya kondoo
Baelezee hawa mazezeta wa jiweEti mkuu alietufanya OMBA OMBA ni nani mwengine km sio waliotawala NCHI kwa miaka 59.
Sio wanatamani hao ni viranja wa dunia tayari.
Tokea 1961 TZ imeshindwa kuwa kiranja EAST AFRIFA Leo mtaweza kuwadindishia viranja wa dunia
Huyo Mzungu wao alifanya vyema kuwatahadharisha watu mapema kuwa lengo lake kuu hasa ni fujo, machafuko na mauaji kwa vile hakuacha kusema: "Hawawezi kutuua wote! Hawawezi!" "Mwaka huu hapatatosha!" "Patawaka moto!" Sasa raia wakaona isiwe taabu maana wao wanatafuta maendeleo na wala siyo kuweka rekodi ya kuwa wahanga wa kwanza kwenye uzushi wa wengine. Walifanya maamuzi sahihi kabisa na wala hawayajutii ndiyo maana hawataki kuandamana hata chembe.Kweli sijui kitu. Mitandaoni kuna watu wana mikwala sana. Ila sidhani kama wana maanisha wanayosema na kufanya. TL na wenzake wamebaki wanashangaa wale wajaza mikutano wameenda wapi?
Mbona tunawaita wanaendelea na mambo yao kama vile hawatujui
Inaonekana mkuu unapenda sana kusaidiwa...!Ngoja tusaidiwe, watawala wanatukandamiza sana
Hata Bush snr, ambaye aliamuru Manuel Noriega rais wa Panama aliyekuwa madarakani wakati huo akakamatwa nchini kwake, akawahishwa US, akashtakiwa na kufungwa miaka 30Marekani ilikuwa ya zama za Bush Jnr huyu Trump naona kama anahubiri demokrasia kinafiki kwani anacheza sana na madikteta.
Tusaidieni tunaangamia.
Acha kuwa na kichwa boksi, Suala la yeye kuwa Tanzania miaka thelathini iliyopita haimpi uhalali wa kuhoji mambo ya Tanzania, anachokisema hakijui, na anawashwa kwa maana huko kwao wanawauwa watu weusi kila kukicha na hatujawahi kumuona akizungumzia hayo, hivyo yeye ni mshenzi kama washenzi wenzake.Unawaza kunyonya? Kiwango chako cha uelewa bado. Huyo anasema alikuwa Tz miaka thelathini iliyopita kama daktari wa kujitolea. Sasa kaja kama balozi wa nchi yake. Anachosema anakijua. Hawashwi kwa maana yoyote. Mimi niliwaandikia waelewa. Huelewi kitu. Kaa kimya kujisitiri. Unapayuka!
jadili yanayokuhusuKenya wanakandamiza wapinzani kama bongo??FOOL YOU
Mwenye kujua makosa ya mtuhumiwa ni hakimu, nje ya hapo ni ukiukwaji wa katiba. Kwa katiba iliopo, kuandamana ni haki ya msingi ya mwananchi.Nenda kamuulize huyo balozi wa marekani, Je Marekani mtu anayefanya makosa huwa hapaswi kukamatwa eti kisa tu yeye ni kiongozi wa chama fulani cha upinzani? Atuambie je Marekani viongozi wa vyama vya upinzani wapo juu ya sheria?
we kitundu ninisasa Tz unataka kuilinganisha na Cuba au Venezuela wewe ni pambaf kweli
Nilielewaje kitu gani?wewe ulielewaje mbona uko humu badala ya kuwa sehemu husika
jitazame
kwani alichoongea cha uongo.nikipi ckweli kuwa mawasilino yanasumbua au co kweli kuwa viongozi wa upinzani kuwa wameshikwa?Huyu baba hanaga kazi zingine? Kwa Kenya huwaga aanaside na serikali kukandamiza wapinzani kwa Tanzania wanaside na wapinzani dhidi ya serikali. Wamerekani wanafiki sana jamani
Kwa ukandamizaji huu ulitaka nani awasaidie wanyonge wanaokamatwa kamatwa kila siku. Mungu anayetajwa na JPM siyo tunayemhua ndio maana anafanya anayoyafanyaHuyu baba hanaga kazi zingine? Kwa Kenya huwaga aanaside na serikali kukandamiza wapinzani kwa Tanzania wanaside na wapinzani dhidi ya serikali. Wamerekani wanafiki sana jamani