Kuna watu wengi wanazolewa na mkumbo wa uvccm na kusifia mambo ya ajabu kabisa (ukatili , mauaji, uonevu , uvunjifu wa sheria , uwizi) ambayo hata uvccm wenyewe kisiri wanayapinga.
Lakini kuna kijana hayo mambo yanamuathiri sana, bahati mbaya anakuwa hajui chanzo ni nini.
Nimesema hivyo kwasababu kuna jamaa mmoja yupo hapa, malalamiko yake yote yanasababishwa na system lakini hatambui analaumu mtu ambaye hawezi badirisha chochote kwenye system. Nimejaribu kumdadavulia hapa ,,amelia kama ng'ombe ,,, anhaaa daaaa'
Nikamuuliza kura yako uliipeleka wapi , nimemwacha anajilaumu na kutukana tu. Ameshakwenda na upepo mitano mingine imeshaanza.[emoji3][emoji3][emoji3]