Uchaguzi 2020 Balozi wa Marekani nchini Tanzania: Serikali ihakikishe usalama wa Viongozi wa Upinzani, iwaachie waliokamatwa na kurejesha mawasiliano kwa wananchi

Alikuja rais Clinton wa Marekani hapa TZ. Mbona mitandao yote ya simu ilizimwa kwa masaa zaidi ya 6 huwezi kupiga simu popote. Ubalozi huu huu wa US mbona haukulalamika??? Serikali inawajibika kwa usalama na inapoona mawasiliano fulani yanaweza kuleta shida wanafunga.
 
Kuna watu wengi wanazolewa na mkumbo wa uvccm na kusifia mambo ya ajabu kabisa (ukatili , mauaji, uonevu , uvunjifu wa sheria , uwizi) ambayo hata uvccm wenyewe kisiri wanayapinga.
Lakini kuna kijana hayo mambo yanamuathiri sana, bahati mbaya anakuwa hajui chanzo ni nini.

Nimesema hivyo kwasababu kuna jamaa mmoja yupo hapa, malalamiko yake yote yanasababishwa na system lakini hatambui analaumu mtu ambaye hawezi badirisha chochote kwenye system. Nimejaribu kumdadavulia hapa ,,amelia kama ng'ombe ,,, anhaaa daaaa'
Nikamuuliza kura yako uliipeleka wapi , nimemwacha anajilaumu na kutukana tu. Ameshakwenda na upepo mitano mingine imeshaanza.[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Huyu balozi wa Marekani naona anawashwa
Kama ni hivyo, ni Marekani ndio inayowashwa kwa sababu yeye ndio mwakilishi wake. Ukiifumania hiyo diplomatic cable unaweza ukapata kiwewe kwa jinsi anavyotoa taarifa nyumbani kwao.
 
sawa kiranja wa dunia tusaidie
 
Mbona miaka ya nyuma haikuwa hivyo? Kwa ushindi wa asilimia 84.4 tulitarajia mawasiliano yasifungwe, ila imekuwa kinyume chake.
 
Safi.

Soon and very soon kuna mtu anaenda kugadafiwa dadeki!
 
Hebu tukumbushe Clinton alikuja Tanzania mwaka gani kama Rais wa Marekani.?? Bill Clinton alikuwa rais wa Marekani toka 20 Jan 1993 mpaka21 Jan 2001. Na Mobile telecoms zimeingia TZ late 2000. Sasa ni lini Clinton alitembelea TZ kipind chake cha urais na mitandao ipi ambayo ilizimwa ambayo kiuhalisia haikuwepo wala hakukuwa na twitter, FB, whatsapp kipind cha clinton.

Ukiwa mwongo jaribu kuweka data zako sahihi
 
There are many more arbitrary arrests and detentions against the opposition candidates.No wonder our image is so tarnished by the government acts than individuals.Yet the blame is thrown to the critics. So shameful!
 
Maneno ya Balozi yapuuziwe kwani ni kama maneno ya kwenye kampeni,wengine walijipa Urais na uwaziri mkuu.Rais ataapishwa,next week maisha yataendelea na maneno ya balozi yatabaki kuwa kama maneno ya kwenye kanga.
 
Utangoja miaka mitano inayokuja na huko pia mtaangukia pua
Uzuri hata yeye anajua kuwa wananchi wa Tanzania wamemkataa ndiyo maana akachukua kura million 12 kutoka NEC, kwani kwa kura alali alijua kabisa hatoboi, unakumbuka fomu moja ya chama chake?
 
Uzuri hata yeye anajua kuwa wananchi wa Tanzania wamemkataa ndiyo maana akachukua kura million 12 kutoka NEC, kwani kwa kura alali alijua kabisa hatoboi, unakumbuka fomu moja ya chama chake?
Ujinga ni kuwaza ujinga kama huu.
Nilisha andika mahali mwaka jana kuwa 2020 ndio mwisho wa chadema na yanetimia.
 
Kuna watu wengi wanazolewa na mkumbo wa uvccm na kusifia mambo ya ajabu kabisa (ukatili , mauaji, uonevu , uvunjifu wa sheria , uwizi) ambayo hata uvccm wenyewe kisiri wanayapinga.

Hayo unayajua wewe, sisi UVCCM tunajua huduma za maji,umeme,afya,elimu bure na miundo mbinu ya usafiri(reli,barabara na vivuko sehemu zenye maziwa kama huko ziwa Tanganyika,Nyasa na ziwa Nyanza).
 
Yaani kwa akili zako ndogo unaona huyo balozi anakusaidia kabisa? Ameshindwa kusaidia black wa kwao aje akuaaidie wewe? Shtuka ndugu
What these ccm thugs and their partners in crime poliseccm doing , is like someone stepping on your toes, and when you want to let him and the world know that he stepped on your toes, he is silencing you so you can't even talk!
 
Usingetukana hapo mwishoni mkuu, maana ulikuwa tayari na bonge la pointi. Hawa jamaa wanataka kiongozi "ngunguri" kama Mr Kiduku. Hapo wanakuja wenyewe kukusalimia. Re: Kisiwa cha Kyuba, Iran, Venezuela nk
Hahahaaa kanikera ndio maana nimetukana..ujue hawa wanalao jambo ndio maana wanatetea mtu kuhamasisha vurugu mi nadhani huyu balozi nae wa kutimua tu halafu lile jengo likawa ubalozi wa korea kaskazini
 
N nyie nani aliyewapandikiza akili za kuiba kura?.huyo ndo aliyewaponza
Wapinzani bhana, kwaio mnataka nchi nzima tulie, akili za kiLibya izo, wanaozipandikiza tunawajua.. mshafeli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…