Pambana sana,wenzako wanalipwa!
I am good,thanks!Nipambane nini😀😀
Hakuna asiyelipwa na wewe njoo ulipwe
Great!I am good,thanks!
Sasa si watoe matamko! Kumbuka siyo kila baba ni baba yako japo na yeye ni babaHata huku hawajatumia lugha yetu
sisi si nchi huru kwanini tuliruhusu beberu akatuzimia mtandao?
Alafu huku mpumbavu moja ana waunga mkono awo wazungu kisa njaa zakeHuko USA wanajeshi wazungu kazi ni kupiga risasi ndugu zetu weusi. Hapo wao wanaona sawa tu?
Bongo tuna misimamo atakae leta ujinga wake wana nchi tuta deal naeWapinzani bhana, kwaio mnataka nchi nzima tulie, akili za kiLibya izo, wanaozipandikiza tunawajua.. mshafeli.
Kutoa taarifa hilo ni mishe yake swala wabongo wanao shirikiana nao ndo tatizo jna saliti nchi yako kisa tumbo awo ndo wakukamata na kuwawajibishaa kwa makosa ya uhaini uhujumu uchumi na kupanga njama za kuliuza taifaKama ni hivyo, ni Marekani ndio inayowashwa kwa sababu yeye ndio mwakilishi wake. Ukiifumania hiyo diplomatic cable unaweza ukapata kiwewe kwa jinsi anavyotoa taarifa nyumbani kwao.
Pia tuwe wakweli tu sio kwamba amani tunayohubiri ipo kwa kiwango hicho bali ni kule kuvumiliana tu na ustaraabu wa Watz ndo kunafanya kuonekane kuna amani.
Kama amani ingekuwa ipo kwa kiwango hicho basi pasingekuwa na haja yakumwaga askari kila kona ili mradi kuzuia kinachoitwa vurugu.
Amani kama ipo kwa kiwango kikubwa basi hata hao wachache wanaotaka kuivuruga wangepuuzwa tu na wapenda amani.
Kutapakaa kwa askari barabarani ni kipimo cha kulazimisha amani wakati uhalisia pengine ni kinyume chake.