Uchaguzi 2020 Balozi wa Marekani nchini Tanzania: Serikali ihakikishe usalama wa Viongozi wa Upinzani, iwaachie waliokamatwa na kurejesha mawasiliano kwa wananchi

Uchaguzi 2020 Balozi wa Marekani nchini Tanzania: Serikali ihakikishe usalama wa Viongozi wa Upinzani, iwaachie waliokamatwa na kurejesha mawasiliano kwa wananchi

Kama ni hivyo, ni Marekani ndio inayowashwa kwa sababu yeye ndio mwakilishi wake. Ukiifumania hiyo diplomatic cable unaweza ukapata kiwewe kwa jinsi anavyotoa taarifa nyumbani kwao.
Kutoa taarifa hilo ni mishe yake swala wabongo wanao shirikiana nao ndo tatizo jna saliti nchi yako kisa tumbo awo ndo wakukamata na kuwawajibishaa kwa makosa ya uhaini uhujumu uchumi na kupanga njama za kuliuza taifa
 
Pia tuwe wakweli tu sio kwamba amani tunayohubiri ipo kwa kiwango hicho bali ni kule kuvumiliana tu na ustaraabu wa Watz ndo kunafanya kuonekane kuna amani.

Kama amani ingekuwa ipo kwa kiwango hicho basi pasingekuwa na haja yakumwaga askari kila kona ili mradi kuzuia kinachoitwa vurugu.

Amani kama ipo kwa kiwango kikubwa basi hata hao wachache wanaotaka kuivuruga wangepuuzwa tu na wapenda amani.

Kutapakaa kwa askari barabarani ni kipimo cha kulazimisha amani wakati uhalisia pengine ni kinyume chake.

Uko hapa jF na hujui kazi ya askari.waachwe ili iweje. Kinga ni bora kuliko tiba.
 
Back
Top Bottom