paul sylvester
JF-Expert Member
- Mar 18, 2020
- 3,503
- 3,499
Ni lazima tu wapige kelele lakini cha Maana hakuna, na wakijifanya watufanye chochote, tangu saa hiyo, korona italamba mpaka white House, si Pampoe Wala Tramlpouoo wote wafyekwaUsijali mdogo mdogo tutalia wote.
CCM hautomjua Wala mpinzani hautomjua wote tutakuwa sawa.
Balozi huyo ameandika:
Reports of arrests of opposition leaders are extremely concerning. I urge the Government to ensure the safety and security of all opposition leaders, cease these targeted arrests, release detainees, restore telecommunications, and afford due process under the law to all citizens.
View attachment 1617807
Watanzania tulikombolewa na Nyerere tangu 1961! Wanaokamatwa na polisi ni hwa wanasiasa matumbo kama huyu hapa na maisha ya maigizo....Kwa hiyo unawashauri nini mamilioni ya Watanzania wanaohitaji ukombozi toka kwa mkoloni mweusi?
Nenda akakuoe uende marekani ukauliwe kama nyani, pumbafu wewe
😂😂😂..nyie wenye lolote mmeishia wapi? Mnataka kushindana na maamuzi ya wananchi ambao walishachaga toka tarehe 28.Piga kimya ww.. Hamna lolote nyinyi.
tena mapema sanaaa mshahara napokea mkuuWewe Magufuli ndio anakupa chakula?
yawezekana nyie ndo wale mashemeji wanawala tu unasema sawasawa au wifi anasimamia nyumba yako au shemeji anakua mwenye nyumbaNani kawakataza wasitoe matamko? Au shida ni lugha kama mzee Jiwe?
Kuna watu hawaelewi marekani wameshirikiana na Kenya kuua wasio na hatia wadai Uhuru wa Mombasa,,au Hawa wavuta bhangi hawalijui Hilo had wanasema wanaomba msaada toka kwa marekani,,Hivi huyu baba hanaga kazi zingine? Kwa Kenya huwaga wanaside na serikali kukandamiza wapinzani kwa Tz wanaside na wapinzani dhidi ya serikali. Wamerekani wanafiki sana jamani
Kataa misaada na hela zakeYani kuna watu wamepooza akili kweli kweli, yani mpaka marekani aseme kitu ndio wanaona kinafaa. Taifa lenye umri wa miaka 59 bado linapangiwa kizembe zembe ni upuuzi mtupu. Mabeberu hawawezi kushupalia kama hakuna maslahi aisee.
ngoja tusaidiwe, watawala
Eti eehIMBECILE Syndrome
Nchi ilisharejea utumwani kwa mkoloni mweusiWatanzania tulikombolewa na Nyerere tangu 1961! Wanaokamatwa na polisi ni hwa wanasiasa matumbo kama huyu hapa na maisha ya maigizo....
View attachment 1617854
Ccm hawajaua wananchi? Tuanzie hapoKuna watu hawaelewi marekani wameshirikiana na Kenya kuua wasio na hatia wadai Uhuru wa Mombasa,,au Hawa wavuta bhangi hawalijui Hilo had wanasema wanaomba msaada toka kwa marekani,,
Kwaiyo balozi ndo rais wetu acha ujinga balozi anayakwake anayopaswa kushughulikia sisi ni watanzania tusirubuniwe mtu akitaka kuvuruga amani lazima tumsitopishe mara mojaMkuu balozi jiongeze na wewe! Kiburi cha watawala kimesha komaa kiasi cha kuwatia upofu! Tweets pekee haziwashtui tena!!!
Wafanye kama kule Libya itakuwa poa sana.Serikali imeshawabembeleza USA vya kutosha ila wameonesha wazi hawana nia njema , ni muda wa kuamua tu wafanye wanalotaka ila hamna haja ya kuwaendekeza wajinga, wao wanataka itokee civil disobedience,, mali za watu zichomwe moto nk., huu ujinga sio wa kuendekeza kabisa.