Uchaguzi 2020 Balozi wa Marekani nchini Tanzania: Serikali ihakikishe usalama wa Viongozi wa Upinzani, iwaachie waliokamatwa na kurejesha mawasiliano kwa wananchi

Uchaguzi 2020 Balozi wa Marekani nchini Tanzania: Serikali ihakikishe usalama wa Viongozi wa Upinzani, iwaachie waliokamatwa na kurejesha mawasiliano kwa wananchi

Usijali mdogo mdogo tutalia wote.
CCM hautomjua Wala mpinzani hautomjua wote tutakuwa sawa.
Ni lazima tu wapige kelele lakini cha Maana hakuna, na wakijifanya watufanye chochote, tangu saa hiyo, korona italamba mpaka white House, si Pampoe Wala Tramlpouoo wote wafyekwa
 
Balozi huyo ameandika:

Reports of arrests of opposition leaders are extremely concerning. I urge the Government to ensure the safety and security of all opposition leaders, cease these targeted arrests, release detainees, restore telecommunications, and afford due process under the law to all citizens.

View attachment 1617807

huyu ndo balozi sasa, sio wale wengine hata waone watu wanakufa wao ni kimyaa tu kisa maslai yao hayajaguswa
 
Kwa hiyo unawashauri nini mamilioni ya Watanzania wanaohitaji ukombozi toka kwa mkoloni mweusi?
Watanzania tulikombolewa na Nyerere tangu 1961! Wanaokamatwa na polisi ni hwa wanasiasa matumbo kama huyu hapa na maisha ya maigizo....
mbowe 2.jpg
 
Hivi huyu baba hanaga kazi zingine? Kwa Kenya huwaga wanaside na serikali kukandamiza wapinzani kwa Tz wanaside na wapinzani dhidi ya serikali. Wamerekani wanafiki sana jamani
Kuna watu hawaelewi marekani wameshirikiana na Kenya kuua wasio na hatia wadai Uhuru wa Mombasa,,au Hawa wavuta bhangi hawalijui Hilo had wanasema wanaomba msaada toka kwa marekani,,
 
Yani kuna watu wamepooza akili kweli kweli, yani mpaka marekani aseme kitu ndio wanaona kinafaa. Taifa lenye umri wa miaka 59 bado linapangiwa kizembe zembe ni upuuzi mtupu. Mabeberu hawawezi kushupalia kama hakuna maslahi aisee.
Kataa misaada na hela zake
 
ya ngoswe muachie ngoswe acha kiherehere kuna kima mmoja wamemsahau kumdaka na yeye
 
ya ngoswe muachie ngoswe acha kiherehere kuna kima mmoja wamemsahau kumdaka na yeye
 
Kuna watu hawaelewi marekani wameshirikiana na Kenya kuua wasio na hatia wadai Uhuru wa Mombasa,,au Hawa wavuta bhangi hawalijui Hilo had wanasema wanaomba msaada toka kwa marekani,,
Ccm hawajaua wananchi? Tuanzie hapo
 
Mkuu balozi jiongeze na wewe! Kiburi cha watawala kimesha komaa kiasi cha kuwatia upofu! Tweets pekee haziwashtui tena!!!
Kwaiyo balozi ndo rais wetu acha ujinga balozi anayakwake anayopaswa kushughulikia sisi ni watanzania tusirubuniwe mtu akitaka kuvuruga amani lazima tumsitopishe mara moja
 
Serikali imeshawabembeleza USA vya kutosha ila wameonesha wazi hawana nia njema , ni muda wa kuamua tu wafanye wanalotaka ila hamna haja ya kuwaendekeza wajinga, wao wanataka itokee civil disobedience,, mali za watu zichomwe moto nk., huu ujinga sio wa kuendekeza kabisa.
Wafanye kama kule Libya itakuwa poa sana.
 
ya ngoswe muachie ngoswe acha kiherehere kuna kima mmoja wamemsahau kumdaka na yeye
 
Back
Top Bottom