Uchaguzi 2020 Balozi wa Marekani nchini Tanzania: Serikali ihakikishe usalama wa Viongozi wa Upinzani, iwaachie waliokamatwa na kurejesha mawasiliano kwa wananchi

Hii ni Nchi huru inayofata utawala wa Sheria...Wamarekani waheshimu maamuzi ya Wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
La sivyo tutaufunga ubarozi huo
 
Reactions: mmh
Kwa hiyo unawashauri nini mamilioni ya Watanzania wanaohitaji UKOMBOZi toka kwa mkoloni mweusi?
Unataka kukombolewa nini? Ukasagwe au? Kama kweli mtanzania anahitaji ukombozi ungemuona barabarani akiandamana.
Chama cha wanahitaji kuyakomboa matumbo yao tu, na Faru John zao
 
Mbona awakemei wanapo hamasisha ‘social unrest’ halafu anajifanya neutral. Huyu mtu anabidi aitwe kwa Kabudi for a talk anazidi sasa.

Watu wamekamtwa kwa kuvunja sheria au akusikia walivyokuwa wanahamasisha watu kuingia kitaa indefinitely.
Ungeonekana wa maana ungemwamsha Kabudi amwite Balozi amhoji na kumweleza hayo mnayoropoka humu JF wao walengwa wa madai ya Balozi huko Serikalini wamekaa kimya.

Huko Serikalini kuna watu wanalipwa mishahara mikubwa sana kwa kazi ya Usemaji Rasmi wa Serikali ukiona wamekaa kimya na mishahara wanapokea ujue kuna jambo.
 
Mbona awakemei wanapo hamasisha ‘social unrest’ halafu anajifanya neutral. Huyu mtu anabidi aitwe kwa Kabudi for a talk anazidi sasa.

Watu wamekamtwa kwa kuvunja sheria au akusikia walivyokuwa wanahamasisha watu kuingia kitaa indefinitely.

Kuingia kitaa ni kuvunja sheria? Kenge mmoja!
 
Wewe jamaa noma: "Kisha hiyo CCM tuigawe mara mbili." Ukweli ni kwamba hiki ambacho CDM wanafanyia nchi yao ya Tanzania, ingekuwa US wasingeungwa mkono hata na makada wa chama chao.

Mfano mzuri ni ule wa udukuaji wa Urusi na Trump (2016) na simu ya Ukreini na Trump (2019). Nasemaga huku kujiita eti sisi taifa maskini kunatufanya tuendelee kuwa koloni la London & Washington.
 
Yani wew unafahami kabisa tatizo lilipo ila bado unajitahidi kufumbia macho
Tatizo wapinzani wa nchii wamewekeza kwenye chuki kuliko kuuza Sera za vyama vyao.
 
Kweli sijui kitu. Mitandaoni kuna watu wana mikwala sana. Ila sidhani kama wana maanisha wanayosema na kufanya. TL na wenzake wamebaki wanashangaa wale wajaza mikutano wameenda wapi?
Mbona tunawaita wanaendelea na mambo yao kama vile hawatujui
una muda mrefu sana jf lakini una fikra finyu sana !
 
Hivi

Huyu baba hanaga kazi zingine? Kwa Kenya huwaga aanaside na serikali kukandamiza wapinzani kwa Tanzania wanaside na wapinzani dhidi ya serikali. Wamerekani wanafiki sana jamani
Mtu unamnyukua afu unampuliza. Ila wewe unanyukua ata upulizi?
 
Wanawajengea mabarabara manyotamba nayo kwenye kampeni, Ukila vya watu ukishikwa tako tulia ukibisha utatemeshwa
 
Jukumu la kulinda taifa letu ni letu sote. Viongozi wanatuwakilisha sie. Kama ingekuwa ndivyo, kama usemavyo, basi kusingekuwepo haja ya Mr Mbowe kwenda kuwahadaa na kuwanunua vijana mtaani ili wakaandamane.

Wangefanya wenyewe maana wao ndio wanahusika na ruzuku na posho ya Mjengoni ambayo kimsingi wananchi wamewakwepua.
 
Kwaiyo balozi ndo rais wetu acha ujinga balozi anayakwake anayopaswa kushughulikia sisi ni watanzania tusirubuniwe mtu akitaka kuvuruga amani lazima tumsitopishe mara moja

Kwa hiyo wewe ndio Mambosasa mwenyewe au nyoka wake? IMBECILE Syndrome
 
Yani wew unafahami kabisa tatizo lilipo ila bado unajitahidi kufumbia macho
Tatizo wapinzani wa nchii wamewekeza kwenye chuki kuliko kuuza Sera za vyama vyao.
Yaani wewe unafahamu kabisa tatizo lililopo ila bado unajitahid kufumbia macho. Tatizo chama tawala kimewekeza kwenye kuua raia wanaodai haki kihalali mana kisera hawana watakachowaambia wapemba wakaelewa.
 
Yani wew unafahami kabisa tatizo lilipo ila bado unajitahidi kufumbia macho
Tatizo wapinzani wa nchii wamewekeza kwenye chuki kuliko kuuza Sera za vyama vyao.
Wapinzani ndio wanaua watu?

Wapinzani ndio wanaiba kura??

Wapinzani ndio wanatoa maelekezo kuwa wakishinda wasitangazwe??

Nani ana chuki sasa?
 
Huyu ni wa kufukuza tu kwani haoni watu hawataki fujo wanataka wafanye kazi zao kwa uhuru? Yan mtu avunje sheria afanye anavyotaka kisa tu mko nyuma yake kama nchi kubwa?? Mbona kiduku kawashinda kule korea kaskazini..nyie mkitoa matamko yeye ana test mitambo mbona mmemkimbia mnahamia ohh waachiwe....mbwaaa nyieee kummaaamae zenuuu
 
Hatuwezi achilia watu wanaotaka kuharibu amani yetu kisa kauli ya balozi.
Inabidi tu wakubali kuwa tayari wameng'olewa kwenye viti vyao
Na kama walivyokjwa walitoka nje bungeni sasa wapo uraiani hatuhitaji tena drama zao.
 
Hivi

Huyu baba hanaga kazi zingine? Kwa Kenya huwaga aanaside na serikali kukandamiza wapinzani kwa Tanzania wanaside na wapinzani dhidi ya serikali. Wamerekani wanafiki sana jamani

Anakukera sana kuutambua wizi wenu eeh hadi umeona kazi yake ni kukunangeni tu?

Huoni nyie mna kazi ya kukandamiza haki peke yake? Kwani mna kazi ipi nyingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…