MWAKATA KWETU
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 562
- 319
Hii ni Nchi huru inayofata utawala wa Sheria...Wamarekani waheshimu maamuzi ya Wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
La sivyo tutaufunga ubarozi huo
La sivyo tutaufunga ubarozi huo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka kukombolewa nini? Ukasagwe au? Kama kweli mtanzania anahitaji ukombozi ungemuona barabarani akiandamana.Kwa hiyo unawashauri nini mamilioni ya Watanzania wanaohitaji UKOMBOZi toka kwa mkoloni mweusi?
Ungeonekana wa maana ungemwamsha Kabudi amwite Balozi amhoji na kumweleza hayo mnayoropoka humu JF wao walengwa wa madai ya Balozi huko Serikalini wamekaa kimya.Mbona awakemei wanapo hamasisha ‘social unrest’ halafu anajifanya neutral. Huyu mtu anabidi aitwe kwa Kabudi for a talk anazidi sasa.
Watu wamekamtwa kwa kuvunja sheria au akusikia walivyokuwa wanahamasisha watu kuingia kitaa indefinitely.
Mbona awakemei wanapo hamasisha ‘social unrest’ halafu anajifanya neutral. Huyu mtu anabidi aitwe kwa Kabudi for a talk anazidi sasa.
Watu wamekamtwa kwa kuvunja sheria au akusikia walivyokuwa wanahamasisha watu kuingia kitaa indefinitely.
Wewe jamaa noma: "Kisha hiyo CCM tuigawe mara mbili." Ukweli ni kwamba hiki ambacho CDM wanafanyia nchi yao ya Tanzania, ingekuwa US wasingeungwa mkono hata na makada wa chama chao.Wapinzani ni wasaliti wakubwa kwa nchi yetu, kila siku kujitongozesha kwa mataifa ya ulaya. Yaani bora CCM ibake peke yake tufute hivi vyama vya upinzani vya sasa na kisha hiyo CCM tuigawe mara mbili. Na kisiwe chama cha mtu mmoja viwe vinafanyiwa vetting kwa viongozi wake na vyombo vya usalama. Sio hawa wapinzani hata hatuwajui vizuri wanaibuka na kutaka kupiga nchi kiberiti.
Yani wew unafahami kabisa tatizo lilipo ila bado unajitahidi kufumbia machoTuseme ukweli tu SERIKALI YA TANZANIA awamu ya tano ni Serikali dhalimu sana. Yani huwezi kutofautisha Tanzania na Burundi au Rwanda kwa sasa. Tanzania ni nchi iliyojijengea heshima kubwa kidemokrasia Leo hii tumekuwa kituko.
Swali unalotakiwa kujiuliza, je wanayoyasema marekani ni ya kweli au wanamsingizia MAGUFULI???
Mitandao imezimwa au haijazimwa??? Kura zimeibiwa au hazijaibiwa??
UCHAGUZI ulikuwa huru au uhuni tu??
Je magufuli asingefanya dhulma ya yote haya Marekani wangemsema vibaya? ?
Tatizo ni MAGUFULI...ni MAGUFULI tu
una muda mrefu sana jf lakini una fikra finyu sana !Kweli sijui kitu. Mitandaoni kuna watu wana mikwala sana. Ila sidhani kama wana maanisha wanayosema na kufanya. TL na wenzake wamebaki wanashangaa wale wajaza mikutano wameenda wapi?
Mbona tunawaita wanaendelea na mambo yao kama vile hawatujui
Mtu unamnyukua afu unampuliza. Ila wewe unanyukua ata upulizi?Hivi
Huyu baba hanaga kazi zingine? Kwa Kenya huwaga aanaside na serikali kukandamiza wapinzani kwa Tanzania wanaside na wapinzani dhidi ya serikali. Wamerekani wanafiki sana jamani
Trump ingia kazini Kiongozi.
Wanawajengea mabarabara manyotamba nayo kwenye kampeni, Ukila vya watu ukishikwa tako tulia ukibisha utatemeshwaHuyu balozi serikali imemuendekeza sana, ni muda muafaka ajue Tz ni nchi huru, wakati hao wajinga wake wanajaribu kutoa matamko ya kuleta vurugu hakusema neno, kuendelea kumuendekeza balozi wa namna hii ataleta matatizo , afanye anachotaka ila hao wajinga wa CDM sheria ichukue mkondo wake, hamna kucheka na ujinga.
Jukumu la kulinda taifa letu ni letu sote. Viongozi wanatuwakilisha sie. Kama ingekuwa ndivyo, kama usemavyo, basi kusingekuwepo haja ya Mr Mbowe kwenda kuwahadaa na kuwanunua vijana mtaani ili wakaandamane.Ungeonekana wa maana ungemwamsha Kabudi amwite Balozi amhoji na kumweleza hayo mnayoropoka humu JF wao walengwa wa madai ya Balozi huko Serikalini wamekaa kimya. Huko Serikalini kuna watu wanalipwa mishahara mikubwa sana kwa kazi ya Usemaji Rasmi wa Serikali ukiona wamekaa kimya na mishahara wanapokea ujue kuna jambo.
Kwaiyo balozi ndo rais wetu acha ujinga balozi anayakwake anayopaswa kushughulikia sisi ni watanzania tusirubuniwe mtu akitaka kuvuruga amani lazima tumsitopishe mara moja
Yaani wewe unafahamu kabisa tatizo lililopo ila bado unajitahid kufumbia macho. Tatizo chama tawala kimewekeza kwenye kuua raia wanaodai haki kihalali mana kisera hawana watakachowaambia wapemba wakaelewa.Yani wew unafahami kabisa tatizo lilipo ila bado unajitahidi kufumbia macho
Tatizo wapinzani wa nchii wamewekeza kwenye chuki kuliko kuuza Sera za vyama vyao.
Wapinzani ndio wanaua watu?Yani wew unafahami kabisa tatizo lilipo ila bado unajitahidi kufumbia macho
Tatizo wapinzani wa nchii wamewekeza kwenye chuki kuliko kuuza Sera za vyama vyao.
Huyu ni wa kufukuza tu kwani haoni watu hawataki fujo wanataka wafanye kazi zao kwa uhuru? Yan mtu avunje sheria afanye anavyotaka kisa tu mko nyuma yake kama nchi kubwa?? Mbona kiduku kawashinda kule korea kaskazini..nyie mkitoa matamko yeye ana test mitambo mbona mmemkimbia mnahamia ohh waachiwe....mbwaaa nyieee kummaaamae zenuuuBalozi huyo ameandika:
Reports of arrests of opposition leaders are extremely concerning. I urge the Government to ensure the safety and security of all opposition leaders, cease these targeted arrests, release detainees, restore telecommunications, and afford due process under the law to all citizens.
View attachment 1617807
Hivi kwani ubalozi nao ulionja shubiri ya mawasiliano ?
Hivi
Huyu baba hanaga kazi zingine? Kwa Kenya huwaga aanaside na serikali kukandamiza wapinzani kwa Tanzania wanaside na wapinzani dhidi ya serikali. Wamerekani wanafiki sana jamani