Uchaguzi 2020 Balozi wa Marekani nchini Tanzania: Serikali ihakikishe usalama wa Viongozi wa Upinzani, iwaachie waliokamatwa na kurejesha mawasiliano kwa wananchi

Wanye nchi mmeamua kuturarua na risasi na mabomu Sasa mpambane na mabeberu
 
Umekandamizwa nini wewe? Internet yetu ina muhusu nini yeye? Na mbona haulizi kama tunakula?
Shitukeni huyo balozi ni ibilisi kavaa ngozi ya kondoo
Balozi anaongea kweli kabisa. Tunahitaji Marekani na nchi nyingine ziweke vikwazo.
 
Wewe yani ni kwamba uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo hatukulaumu ila inabidi tukufundishe yakwamba ujifunze kuwa mzalendo na mchapa Kazi ili tusonge mbele kimeendeleo na sio unafiki na kupinga juhudi
 
Mabadiliko ni nature katika maisha ya binadamu hapa duniani
Yawe na matokeo mazuri au mabaya !
 
Wamejaribu kila njia wameshindwa na hata hili la kuwataka kina Lissu na Zito waanzishe vurugu zitakazopelekea wao kuzipata rasilimali bure litashindwa kwani Watanzania wanajitambua saana na wataisoma namba
Hakuna upuuzi wa demokrasia ni kisingizio tuu wanachotaka ni RASILIMALI ZETU Kila nchi iliyo katika matatizo Duniani leo yaliletwa au kusababishwa na US na UK na kote huko ni kwa ajili ya rasilimali zao wasipokuwa na mkono au kuzipata kilaghai kama wapendavyo basi nchi hiyo husemwa haina demokrasia oneni leo ni dampo la nuclear waste wamagharabi wote wanajichimbia tuu Watanzania amkeni
 
Hivi mbona wao wali ban kuonyeaga maandamano ya watu weusi walio uwawa na police huko kwao.
Wakumbuke kesho na wao wanauchaguzi.
Hii ni Tanzania inayo jitambua ngoja tufanye kazi kwanza mengine badae
 
Balozi amewafanya mnakata uno na sasa ole wenu msipowaachia lazima mzalishwe
mabwege kama wewe ndio wanaungaunga matamko ya ki shoga kama ya huyo Balozi, hivi hawajui hii ni nchi huru na pia lilikuwa koloni la Uingereza na sio USA? kama waliwashauri kwamba karata ya mwisho ni kuingiza watu barabarani wamefeli hii ndio TZ. Hawajatupa sentano ya uchaguzi, wasitupangie.
 
Acha kutapatapa bisheni muone nguvu ya beberu kama gadaff alisurrender jiwe ni nani
 
Kama ni nchi huru mfukuzeni mnasubiri nini? si mna jeshi na Tiss hahahahaha subiri sindano izame kunako
 
Ulichokiandika kisome tena, halafu nenda kanyonye ukalale
Unawaza kunyonya? Kiwango chako cha uelewa bado. Huyo anasema alikuwa Tz miaka thelathini iliyopita kama daktari wa kujitolea. Sasa kaja kama balozi wa nchi yake. Anachosema anakijua. Hawashwi kwa maana yoyote. Mimi niliwaandikia waelewa. Huelewi kitu. Kaa kimya kujisitiri. Unapayuka!
 
Eti mkuu alietufanya OMBA OMBA ni nani mwengine km sio waliotawala NCHI kwa miaka 59.
Sio wanatamani hao ni viranja wa dunia tayari.
Tokea 1961 TZ imeshindwa kuwa kiranja EAST AFRIFA Leo mtaweza kuwadindishia viranja wa dunia
 
We nani unatuamrisha. Tokea huko na umbea wenu
 
Nchi ilisharejea utumwani kwa mkoloni mweusi
Kwa mtu ambaye alizoea kujiendeaendea na kujifanyia vile atakavyo, huu utawala wa Dkt. Magufuli wa udhibiti mzuri wa mali za umma na kasi ya maendeleo, lazima atadhani ni ukoloni. Na huu ni mwanzo tu, kinakuja kimbunga cha maendeleo.
 
Yaani wewe ni mtu wa ajabu sana na waafrika wa kweli watakushangaa kama unaona alichofanyiwa Ghadaffi ni sawa na anastahili hata Magu kufanyiwa tunakuogopa!!
Basi ingieni barabarani na hao mabeneru mnaowategemea mje nao ndipo mtaikubali Tanzania kama ni nchi ya kipekee tofauti na huko mnakovalishana nickers usoni kichizi
 
Marekani ilikuwa ya zama za Bush Jnr huyu Trump naona kama anahubiri demokrasia kinafiki kwani anacheza sana na madikteta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…