Duh! Umesoma elimu ya wapi? Exposure zero.first off ukiona mzungu tena balozi anakuita kwa nick name eti sugu, ujue he has no respect for you, na inaonyesha jinsi gani anavyokudharau na kutokukupa umakini wowote, itβs too low kwa maoni yangu ni dharau kubwa β¦
Umezingatia uzito wa statement yake kwenye hiyo tweet? Unaelewa uzito wa balozi wa taifa linalochangia miradi ya maendeleo ya nchi yetu?first off ukiona mzungu tena balozi anakuita kwa nick name eti sugu, ujue he has no respect for you, na inaonyesha jinsi gani anavyokudharau na kutokukupa umakini wowote, itβs too low kwa maoni yangu ni dharau kubwa β¦
Safari bado tunayo ndefu kama taifaVipi Trump kupigwa risasi ya sikio ..inakubalika
Tanzania haiongozwi kwa amri kutoka Washington, Brussels wala 10 Downing street. Hatuko chini ya Duke of Edinburgh...πππ
Huyo jamaa bila shaka ni mbumbumbu sa balozi amwitaje jamaa ili tumuelewe kirahisiAnamuita kwa jina ambalo ni maarufu kwa watu.
Hata leo angemtembelea diamond angesema hivyo hivyo diamond kwa sababu ndio brand name na identity name inayojulikana na watu wengi.
Hoja zingine mnazoleta ni hoja dhwaifuu
Sugu ni mmarekani yule πVipi Sugu, lugha ya malkia inapanda?
Ndio Kisingizio si ndio? ππKuna mahusiano ya hip hop hapo. Jifunze kiingereza dada.
Alikiwa former hip hop artist. Halafu ujue hip hop ina nguzo zake 5, kuwa Mcee ni moja tu kati ya nguzo. Kwa sasa Sugu kaegemea zaidi kwenye freestyleNdio Kisingizio si ndio? ππ
Sugu anaomba hip hop gani Kwa Sasa?
Kwamba Kila Balozi wa USA Huwa anakuja Kwa mambo ya former Hip hop si ndio? Wajinga ndio watakuelewaAlikiwa former hip hop artist. Halafu ujue hip hop ina nguzo zake 5, kuwa Mcee ni moja tu kati ya nguzo. Kwa sasa Sugu kaegemea zaidi kwenye freestyle
Inahusikaje Sasa na Beberu USA?Hip Hop made Sugu's life
Mkiombaga misaada mnapiga goti na kuwaita wafadhili na marafikiπMy Take
Vibaraka Huwa wanatengenezwa kutokea mbali .
Wana Mbeya tukatae kuongozwa na vibaraka wa Mabeberu ππ
View: https://x.com/USAmbTanzania/status/1847260035329544348?t=L-XZ5SgVYWR9PNHiwaJjaA&s=19