Duh! Umesoma elimu ya wapi? Exposure zero.first off ukiona mzungu tena balozi anakuita kwa nick name eti sugu, ujue he has no respect for you, na inaonyesha jinsi gani anavyokudharau na kutokukupa umakini wowote, it’s too low kwa maoni yangu ni dharau kubwa …
Wazungu wa wapi unawaongelea? Labda kwa Putin.