Pre GE2025 Balozi wa Marekani: Nimeongea na rafiki yangu Sugu kipigo alichopata hakikubaliki, ninalaani kwa nguvu zote

Pre GE2025 Balozi wa Marekani: Nimeongea na rafiki yangu Sugu kipigo alichopata hakikubaliki, ninalaani kwa nguvu zote

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
first off ukiona mzungu tena balozi anakuita kwa nick name eti sugu, ujue he has no respect for you, na inaonyesha jinsi gani anavyokudharau na kutokukupa umakini wowote, it’s too low kwa maoni yangu ni dharau kubwa …
Duh! Umesoma elimu ya wapi? Exposure zero.

Wazungu wa wapi unawaongelea? Labda kwa Putin.
 
first off ukiona mzungu tena balozi anakuita kwa nick name eti sugu, ujue he has no respect for you, na inaonyesha jinsi gani anavyokudharau na kutokukupa umakini wowote, it’s too low kwa maoni yangu ni dharau kubwa …
Umezingatia uzito wa statement yake kwenye hiyo tweet? Unaelewa uzito wa balozi wa taifa linalochangia miradi ya maendeleo ya nchi yetu?

Lakini, zingatia kuwa huyo ni Balozi wa Marekani, nchi inayoongoza kwa kutoa misaada kwenye sekta ya elimu nchini. Kwa kuanzia vitabu hadi vyoo.

Ama wewe ulichokiona ni hilo jina la Sugu tu? Ambalo kwa sasa tayari limeanza kuwa rasmi, viongozi wa chama chake na hata Rais huwa anamtambua kwa jina hilo.

Hata Grover Cleveland wakati alikuwa akijulikana kama Big Steve huku akiwa Ikulu.

Ova
 
Tanzania haiongozwi kwa amri kutoka Washington, Brussels wala 10 Downing street. Hatuko chini ya Duke of Edinburgh...🙏🙏🙏

Hilo unajua wewe hapo kwa mtogole, wanaokulisha siku zote wapo huko kuomba makombo wakuletee km kitoto cha ndege kwenye kiota! Endelea kuota umalize siku zako tu wkt mchango wako kwa humanity (duniani) ni vijipost vya jf na kuzaa tu
 
Anamuita kwa jina ambalo ni maarufu kwa watu.

Hata leo angemtembelea diamond angesema hivyo hivyo diamond kwa sababu ndio brand name na identity name inayojulikana na watu wengi.

Hoja zingine mnazoleta ni hoja dhwaifuu
Huyo jamaa bila shaka ni mbumbumbu sa balozi amwitaje jamaa ili tumuelewe kirahisi
 
Sugu alivyo na misifa kawatolea shombo akijua huyo jamaa yake atamtetea,kala kipondo murua
 
Ndio Kisingizio si ndio? 😄😄

Sugu anaomba hip hop gani Kwa Sasa?
Alikiwa former hip hop artist. Halafu ujue hip hop ina nguzo zake 5, kuwa Mcee ni moja tu kati ya nguzo. Kwa sasa Sugu kaegemea zaidi kwenye freestyle
 
Alikiwa former hip hop artist. Halafu ujue hip hop ina nguzo zake 5, kuwa Mcee ni moja tu kati ya nguzo. Kwa sasa Sugu kaegemea zaidi kwenye freestyle
Kwamba Kila Balozi wa USA Huwa anakuja Kwa mambo ya former Hip hop si ndio? Wajinga ndio watakuelewa
 
Screenshot_20241019-192838.jpg

Unawahi wapi!?,kuja Siri gani..., Kato ya beberu!?.. hivi mnapewa hata kozi ya kuwa chawa au mnavamia fani za akina Lukas!???
 
Back
Top Bottom