sheiza
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 7,640
- 11,680
Huwa najiuliza hamas aliwaza nini? Kwa nini hakuwaandaa watu wa Gaza na hayo machafuko?
Au walihisi ile ambush wamngemaliza adui yao mara moja.?
Lakini wangeamua kushambulia maeneo ya serikali na jeshi isingeleta shida sana kuliko walivyovyamia raia wa kawaida na kuwaua na kuwateka..hapo adui yake amempa nguvu ya kumuharibu na yeye na watu wa Gaza huku dunia ikiwa imezibwa mdomo..video clips zinatembezwa kwa wingi kuwaonyesha walivyokamata raia na kuwaua..timing ilikuwa mbovu.
Lakini nadhani israel nae hakuwa na mpango tena pengine na hao jamaa wa hamas na aliamini pengine amani itatawala ndio maana alipunguza nguvu ya ulinzi kwenye mipaka yake na anga.
Au hamas aliahidiwa aivamie israel kisha hezbollah na wengine wataingia kwa fujo kumaliza game halafu wakawatosa?
Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app