Balozi wa Palestina Nchini aomba Dunia ipaze sauti kulaani vita dhidi ya Israel

Huwa najiuliza hamas aliwaza nini? Kwa nini hakuwaandaa watu wa Gaza na hayo machafuko?

Au walihisi ile ambush wamngemaliza adui yao mara moja.?

Lakini wangeamua kushambulia maeneo ya serikali na jeshi isingeleta shida sana kuliko walivyovyamia raia wa kawaida na kuwaua na kuwateka..hapo adui yake amempa nguvu ya kumuharibu na yeye na watu wa Gaza huku dunia ikiwa imezibwa mdomo..video clips zinatembezwa kwa wingi kuwaonyesha walivyokamata raia na kuwaua..timing ilikuwa mbovu.

Lakini nadhani israel nae hakuwa na mpango tena pengine na hao jamaa wa hamas na aliamini pengine amani itatawala ndio maana alipunguza nguvu ya ulinzi kwenye mipaka yake na anga.

Au hamas aliahidiwa aivamie israel kisha hezbollah na wengine wataingia kwa fujo kumaliza game halafu wakawatosa?

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
 
Atulie na kuacha wanaume wamuonyesha jinsi kibano mpka wanyooke
 
Sisi hatufungamani na upande wowote so tumetulia tuu.kutokana na Ile NAM
 
Kwenye matatizo ndio mnajua kuna watanzania, hatupigi kelele wala mayowe. Mmelikoroga mlinywe wenyewe!
 
Mwaka 1948 taifa lililojulikana kama Palestina lilifutwa katika ramani ya dunia na taifa jipya la Israel likabuniwa badala yake. Majeshi ya Kizayuni yaliwafukuza Wapalestina takriban 800,000 kutoka makazi na ardhi yao, wakanyakua asilimia 75 ya ardhi ya Palestina. Vijiji 530 vikateketezwa na Wapalestina 15,000 wakauawa
 
Hata hivyo haipigwi Palestina anayoiwakilisha yeye! Inayopigwa ni Palestina ya Gaza iliyochini ya Hamas
Kwa hiyo Wapalestina milioni 2.2 walio chini ya Hamas wanahukumiwa kuuawa kwa madhambi ya Hamas?
 
Tatizo hamas wanajificha migongoni
Mwa wapalestina huku wakipigana

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…