Balozi wa Sweden atembelea Ofisi za JamiiForums

Hamna wa kucomment
Mods tunaomba uzi huu ufutwe😅😅😅🙌
 
Hivi ajira kumbe zipo tu humu.

Ee bana ee, nimeona warembo waliotukuka weupe hadi miguuni.

Mwambieni huyo balozi tunampa hi.
 
Bravo 👏 the Ambassador. Naona kuna watu wameshindwa kabisa kuonekana kwenye huu uzi kwa sababu wanashindwa waanzie wapi kuponda kwa sababu ni mkono unaowalisha hata na wenyewe.

They're finding themselves in a very awkward situation those hypocrites.
 
ASHA D ndio yupi hapo?
 
Hapa ndio kuna wale Mods wakora wanaotushughulikia wakati mwingine bila sababu? Big up Mexence kwa kutoa ajira kwa vijana. Naona kundi kubwa la vijana wamepata ulaji hapo JF. Mungu ampe maisha marefu huyu bwana mdogo.
 
Mama lisanii hilo hakuna kitu! Uliona ile alikuwa kwenye taarabu? Eti kwenye public anawazuga Wazungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…