Balozi wa Sweden atembelea Ofisi za JamiiForums

Hivi Hawa JF wao wananufaikaje kwenye huu mtandao, maana naona tunaingia bure kabisa na kujimwaga tu.

Sitaki muamin et mb ndio faida yao maana hata mb huu mtandao unakula kidogo Sana.

Mwenye uelewa plz anitoe tongotongo hapa
Washukuru Platinum Members
 
Nimemuona Paw hapo, na mod mpiga ban. Noma sana.
 
Kwenye picha ya chini nawaona mods na kwa kuwatazama tu najua anayepigaga watu ban ni nani.
 
hivi ndo huyu YEHODAYA tumjuaye au tumeingiliwa?
 
Hapo kwenye picha kuna ambao ndo huwa wanafuta thread zetu...aisee
 
Hivi Hawa JF wao wananufaikaje kwenye huu mtandao, maana naona tunaingia bure kabisa na kujimwaga tu.

Sitaki muamin et mb ndio faida yao maana hata mb huu mtandao unakula kidogo Sana.

Mwenye uelewa plz anitoe tongotongo hapa
Kitengo maalum cha ..........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…