Balozi wa Sweden atembelea Ofisi za JamiiForums

Ngoja kwanza, hao wote ni staff wa JF!? Aise, kuna vitoto vizuri mno, nimevielewa viwili hapo; mleta UZI we ndio yupi katika hao!? Please i wish if i can have your number...! Joke
 
Naiheshimu kama Mama yangu mzazi!
Hivi GoT ilishawahi kuipa JF kama JF tuzo au kuwatambua kwa mchango wao kwa Tanzania kweli!??
"Matendaji" ya GoT yanashinda humu kuchukua "materials" na "points" za kufanyia kazi.
Madudu mengi yanaibuliwa humu.
Ni vyema GoT ikawa na ustaarabu na utaratibu wa kutambua watu au taasisi zinazofanya makubwa katika kimchango wa kuendesha inchi na kuipigisha hatua.
Mbarikiwe Jamii Forum team yote.
Naiheshimu kama Mama yangu mzazi!
 
Huwezi ukajua, siyo lazima watangaze. Kwani wewe hadi kufikia kusema hivi, unaionaJamiiForums imekaa kaaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…