Balozi wa Tanzania nchini Namibia (Kipilimba): Rais Magufuli yuko mzima anachapa kazi

12 March 2021
Windhoek, Namibia

Tanzania's High Commissioner to Namibia says president Magufuli in good health - NBC


Source : Namibia Broadcasting Corporation
 
Alieuliza Rais yuko wapi, yuko nje.
Na aliejibu kwamba Rais yuko buheri wa afya pia yuko nje.
So muuliza swali na mtoa majibu wote wako nje.
Ngoma Droo.

Tuendelee kupiga kazi
 
Tunataka kumuona rais wetu aonekane ili tuondoe uvumi
 
Sad kwamba mtu inaonekana dhahiri sasa kuwa ana matatizo lakini unakuta idadi kubwa ya watu wanafurahia matatizo yake.
Hii haijawai kuwepo Tz.
Wabongo ni wakweli sana,, waliposema JK ni mpole kweli JK alikuwa mpole.
Naamini sasa kuwa hata sifa za huyu mrithi ninazozisikia ndizo sifa zake hasa.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Maisha yako kasi kweli kumbe Kipilimba alipata shavu.
 
Yaani balozi Namibia ndo atoe taarifa, huku waziri wa mambo ya nje yupo, msemaji wa serikali yupo, mkurugenzi wa habari Ikulu yupo, kuna kitu hakipo sawa Tanzania.

Ni nature ya Maharagwe yanapochemka kabla ya kuiva ni lazima yarukeruke kwanza na yakiiva yanatulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…