Balozi wa Tanzania nchini Namibia (Kipilimba): Rais Magufuli yuko mzima anachapa kazi

Balozi wa Tanzania nchini Namibia (Kipilimba): Rais Magufuli yuko mzima anachapa kazi

Unadhani Document yenye sensitive content kama hii inavujaje kirahisi hivyo? Ni sawa na kukutana na sahani ya wali na kuku jangwani na glasi ya maji ya kunywa.
Time will tell
 
Huyu barozi wa nyumba kumi nayeye ni mzushi,abasi fafanua hiyo taarifa ya barozi.
 
Hili swala linatakiwa kuongelewa aidha na kurugenzi ya mawasiliano ya rais au makamu wa rais (msaidizi no. 1 wa rais). Wajue wasije wakalinganisha hii na ile ya kipindi kile (2015) ya CDF Mwamunyange kutoonekana hadharani. Ukiangalia hata maelezo aliyotoa Majaliwa leo utahisi mambo sio poa!
Endelea kuhisi tu mkuu!!
 
Tunacho kikemea hapa ni uzushi, unapata wapi haki ya kuzungumza kitu ambacho huna uthibitisho, si bora ukae kimya tu, maaana hakuna kificho.
Rais kama binaadamu wengine inawezekana kabisa ameumwa mara nyingi tu ni sio lazima mara zote tumetangaziwa/tumefahamu na sio lazima.
sasa kesho ukimuona akizindua au kutembelea mahali utasemaje?!
Tuone hiyo kesho aonekane
 
Hili swala linatakiwa kuongelewa aidha na kurugenzi ya mawasiliano ya rais au makamu wa rais (msaidizi no. 1 wa rais). Wajue wasije wakalinganisha hii na ile ya kipindi kile (2015) ya CDF Mwamunyange kutoonekana hadharani. Ukiangalia hata maelezo aliyotoa Majaliwa leo utahisi mambo sio poa!
Swala lipi!??? Issue mmeikuza wenyewe, mlitafune wenyewe na kulimeza wenyewe.
 
Huyo Balozi si angesema tu kuwa yeye sio Msemaji?.
 
Hivi huyu Kipilimba kumbe yuko huko Msumbiji, ndio maana machafuko hayaishi kule calbodelgado.
Ni ofisa usalama aliyepelekwa kikazi nadhani huko msumbiji. Hivi nani msemaji wa rais, w mkuu ama mabarozi au ma rc ?
 
Back
Top Bottom