Balozi wa Tanzania nchini Namibia (Kipilimba): Rais Magufuli yuko mzima anachapa kazi

Balozi wa Tanzania nchini Namibia (Kipilimba): Rais Magufuli yuko mzima anachapa kazi

Kama hujui nyamaza. Trilion 1.5 hazikwenda mifukoni mwa Magufuli. Serikali inajua ilifanyia nini. Kuna vitu vingine siyo lazima uambiwe. Nchi yoyote ina mambo yake ya siri.
Mambo hayo ya siri yamefanyika awamu hii tu?
 
Kumbe Balozi wa Nchi anamwakilisha nani - Waziri au Rais? Obviously anamwakilisha Rais of course ndio maana media kubwa kama Reuters imechukulia seriously comments za Balozi wa Tanzania nchini Namibia, wanajua taarifa hizo came from horse's mouth, kwa bahati mbaya au kimakusudi wasio mtakia mema Dk. Magufuli wana gross misinterpret kauli ya Balozi - wanataka kusikia habari mbaya mwanzo mwisho.
Ni nani ametufikisha huko mkuu?
 
Huwenda rais ame recover huko aliko Sasa kinachofanyika ni kuhadaa wananchi ili arudi kinyemela na maisha yaendelee Kama hakija tokea kitu
 
Kwa sasa Magufuli ana mtihani mkubwa sana, maana msaidizi wake wa Ikulu amefariki. Lazima aende kwenye msiba.
Umekopi wapi hii ya msaidizi wa ikulu kufariki?.
Kweli JF forum kuna mazwazwa, yule "alikuwa" up on a times.👇🏿

 
Unadhani usaidizi wake kwa magufuli umeisha?.
Kumbe wewe ni mpumbavu.
Hivi unajua kuwa usalama wa taifa uwa HAWASTAAFU?.
HUKO MARA KAENDA KWA AJILI YA KAZI MAALUM.huyo ni mtu mkubwa sana kwa magufuli na asipoenda kwenye msiba wake italeta tafsiri nyingine
Umekopi wapi hii ya msaidizi wa ikulu kufariki?.
Kweli JF forum kuna mazwazwa, yule "alikuwa" up on a times.[emoji1541]

 
Ndio, lakini yeye anaonekana, aliye nyumbani na mwenye majukumu ya kuendesha nchi haonekani wiki tatu sasa. Hata kwenye ibada zake za siasa za kila jumapili ameshindwa kufika, na kuna chance kubwa jumapili hii pia hatakuwepo.
Kumbe nyinyi ndio mliomnyima kura Lissu! Mkampa Magufuli - tulishangaa kura za Lissu kupungua kivile! Kumbe wanaojiita wapinzani wengi Walimpa kura Magufuli. Ukute hata Lissu alimpigia Magufuli - mnammiss sana! Sikutegemea Lissu angemmiss Rais kiasi hiki!
 
Huyu nae atulie , yeye ni msemaji wa serikali,? kumsemea rais wa nchi sio kazi yake ,so afanyenye kazi yake inayomhusu full stop
 
Huu mpira unapigwa mara mashariki mara magharibi ila naamini tutaweka kati soon
 
Huu mpira unapigwa mara mashariki mara magharibi ila naamini tutaweka kati soon
 
Mi namuombea age ili nchi itulie na irudi katika misingi. Wizi alioufanya wa trilion 1.5 unatosha kumrisha maisha yote mpaka anakufa tena Mara ya pili
We nani anaweza kuiba hela kama hiyo akaihifadhi bongo hapa? Kuelewa hizi report za CAG nayo ni changamoto..
 
Hili swala linatakiwa kuongelewa aidha na kurugenzi ya mawasiliano ya rais au makamu wa rais (msaidizi no. 1 wa rais). Wajue wasije wakalinganisha hii na ile ya kipindi kile (2015) ya CDF Mwamunyange kutoonekana hadharani. Ukiangalia hata maelezo aliyotoa Majaliwa leo utahisi mambo sio poa!
 
Back
Top Bottom