Balozi wa Tanzania nchini Namibia (Kipilimba): Rais Magufuli yuko mzima anachapa kazi

Balozi wa Tanzania nchini Namibia (Kipilimba): Rais Magufuli yuko mzima anachapa kazi

Yaani balozi Namibia ndo atoe taarifa, huku waziri wa mambo ya nje yupo, msemaji wa serikali yupo, mkurugenzi wa habari Ikulu yupo, kuna kitu hakipo sawa Tanzania
Hii nchi ina vituko sana. Na mimi nimejiuliza hivyo hivyo.

Halafu, kuna msemo wa Kiingereza " action speak louder than words".

Kwa nini wanatuambia wakati wanaweza kutuonesha Magufuli huyu hapa mzima?


Magufuli kama kweli mzima anashindwa vipi kuwasalimia wananchi kwa dakika chache kuithibitishia dunia yeye ni zima?

The New York Times: Tanzanian President’s Absence Fuels Speculation About His Health.

 
Uzushi huu unao endelea nisawa na tabia ya "Fisi"mwenye tamaa ambaye anafuatilia kwa nyuma "mkono" wa binaadamu anaye tembea...fisi akidhani kuwa mkono utadondoka chini kisha autafune.
Ila kama yaliyoelezwa kwenye hiyo article hapo juu yapo, basi baba hali yake ni tete.
Pamoja na ukali wake, bado nina imani sana naye. Namwombea kwa Muumba apone haraka aje aendeleze ile plant ya JKN HP
 
Siyo kosa lako, ulivolelewa na kusomeshwa ndivyo ulivyoelewa.
 
Chalamila mkuu wa mkoa mbeya amesema leo mbele ya waandishi wa habari kua ameongea na rais na yupo vizuri hivyo acheni kupanic
 
Unakubalina rumour za J. Biden kuwa ni 'unfit' kujibu maswali ya wahandishi wa habari ya papo kwa papo!? Na hii unaweza kujinasibu kuwa wamarekani wanaojihusisha na mambo ya ikulu ya marekani watapata aibu siku za usoni! ?
Wahandishi vs wahandisi.
 
Yaani balozi Namibia ndo atoe taarifa, huku waziri wa mambo ya nje yupo, msemaji wa serikali yupo, mkurugenzi wa habari Ikulu yupo, kuna kitu hakipo sawa Tanzania
Hapo chacha
 
Tumia lau hata akili kidogo kufikiri.
hayo maneno ungemwambia magufuli.tulipotaka kumuombea lissu alituma polisi waje wavuruge na wakachukua na mashine zetu za kuprint t shirt za lissu.afe tu mbona fresh kabisa
 
Mungu atamuinua Magu kama ni kweli anaumwa ili maadui wake waaibike kama kipindi cha nyuma.
Na wewe inshallah mungu akuinuwe vile vile hakuna anaemtakia mabaya huyo magufuli lakini huyo ni rais wa nchi wananchi wanataka kujuwa hali ya rais wao kipenzi .
 
Anachapa kazi huko Namibia au wapi?!
atachapaje kazi huku covid inamchapa,safari hii ni zamu ya mizinga 21 kulindima chato sio Lupaso tens

My life my purpose,Siku nikifa naomba nizikwe chato
 
Back
Top Bottom