Balozi wa Tanzania nchini Namibia (Kipilimba): Rais Magufuli yuko mzima anachapa kazi

Balozi wa Tanzania nchini Namibia (Kipilimba): Rais Magufuli yuko mzima anachapa kazi

Uzushi huu unao endelea nisawa na tabia ya "Fisi"mwenye tamaa ambaye anafuatilia kwa nyuma "mkono" wa binaadamu anaye tembea...fisi akidhani kuwa mkono utadondoka chini kisha autafune.
 
Uzushi huu unao endelea nisawa na tabia ya "Fisi"mwenye tamaa ambaye anafuatilia kwa nyuma "mkono" wa binaadamu anaye tembea...fisi akidhani kuwa mkono utadondoka chini kisha autafune.
Kama vile mkulu ni immortal

Tunacho kikemea hapa ni uzushi, unapata wapi haki ya kuzungumza kitu ambacho huna uthibitisho, si bora ukae kimya tu, maaana hakuna kificho.
Rais kama binaadamu wengine inawezekana kabisa ameumwa mara nyingi tu ni sio lazima mara zote tumetangaziwa/tumefahamu na sio lazima.
sasa kesho ukimuona akizindua au kutembelea mahali utasemaje?!
 
Unadhani Document yenye sensitive content kama hii inavujaje kirahisi hivyo? Ni sawa na kukutana na sahani ya wali na kuku jangwani na glasi ya maji ya kunywa.
 
Ni aibu rumour mill to involve mtu anaeitwa "rais",kwanza that on itself ni AIBU!
Unakubalina na rumours za J. Biden kuwa ni 'unfit' kujibu maswali ya wahandishi wa habari ya papo kwa papo!? Na hii unaweza kujinasibu kuwa wamarekani wanaojihusisha na mambo ya ikulu ya marekani watapata aibu siku za usoni! ?
 
Uvumi umeachwa mpaka umejithibitisha kuwa uko karibu na ukweli
 
Back
Top Bottom