Mungu atamuinua Magu kama ni kweli anaumwa ili maadui wake waaibike kama kipindi cha nyuma
We naee!! Kwani akiwa anaumwa ni udhaifu? Mbona hakuna mtu ambaye hakuwahi kutoumwa? Acheni sarakasi - kama anasemwa kuumwa, si jambo baya. Baya ni kama anasingiziwa. Unadhani wanaoumwa Mungu amewaacha? Acheni dhihaka kwa Mungu huyu.