Balozi wa Tanzania nchini Namibia (Kipilimba): Rais Magufuli yuko mzima anachapa kazi

Balozi wa Tanzania nchini Namibia (Kipilimba): Rais Magufuli yuko mzima anachapa kazi

Aliyeuliza Rais yuko wapi - si yuko nje ya nchi pia!
Ndio, lakini yeye anaonekana, aliye nyumbani na mwenye majukumu ya kuendesha nchi haonekani wiki tatu sasa. Hata kwenye ibada zake za siasa za kila jumapili ameshindwa kufika, na kuna chance kubwa jumapili hii pia hatakuwepo.
 
Kama hujui nyamaza. Trilion 1.5 hazikwenda mifukoni mwa Magufuli. Serikali inajua ilifanyia nini. Kuna vitu vingine siyo lazima uambiwe. Nchi yoyote ina mambo yake ya siri.
Wajinga bado mko wengi kujenga uwanja wa ndege Chato ndio hatutakiwa kujua

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Wiki iliyopita JPM hakuwa vizuri ila kuanzia jana hali yake imerejea vizuri na anachapa kazi kwa nguvu zote
 
Yaani balozi Namibia ndo atoe taarifa, huku waziri wa mambo ya nje yupo, msemaji wa serikali yupo, mkurugenzi wa habari Ikulu yupo, kuna kitu hakipo sawa Tanzania.
C vijana wamempa taarifa bos wa zamani na yeye kaileta kusaidia kutia uzito
 
Ukimuona Dr Abbas, msemaji wa serikali amekaa kimya bila kujibu hoja hii, kuna jambo
Hayupo safarini mkuu nazani moja ya watu waliosafarini dk modestusi ndio maana ameenza toa habari maana kassim na chalamila wamekuja kwa nguvu maana mbobezi anawafundisha semeni hivi kwa muda huu
 
Kwani balozi ndiye amekuwa msemaji mkuu wa serikali? "I smell a very big rat on the whole issue".
Kumbe Balozi wa Nchi anamwakilisha nani - Waziri au Rais? Obviously anamwakilisha Rais of course ndio maana media kubwa kama Reuters imechukulia seriously comments za Balozi wa Tanzania nchini Namibia, wanajua taarifa hizo came from horse's mouth, kwa bahati mbaya au kimakusudi wasio mtakia mema Dk. Magufuli wana gross misinterpret kauli ya Balozi - wanataka kusikia habari mbaya mwanzo mwisho.
 
Back
Top Bottom