Balozi wa Tanzania nchini Uturuki, Luteni Jenerali Yacoub Mohamed

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Balozi wa Tanzania Nchini Uturuki anaitwa Luten General Yacoub Mohamed
.
Asanteni Sana Wakuu [emoji109][emoji109]

Screenshot_20220608-164253.jpg
 
Maza anamjengea CV usijeshangaa, ngoja uone na kama ana asili ya visiwani basi "imeisha hiyoo" alisikika Kidagaa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yeah! Rais hashindwi jambo, anaweza mtumikisha hata kwa mikataba sababu ye anapelekewa majina achague na miungoni mwa majina hayo hili lazima liwemo.
 
Balozi wa Tanzania Nchini Uturuki anaitwa Luten General Yacoub Mohamed
.
Asanteni Sana Wakuu [emoji109][emoji109]View attachment 2254455
Asante kwa taarifa ya utambulisho wa balozi huyu, najua lengo la utambulisho huu, swali ni jee umri wake unaruhusu? ili aweze ... , anapaswa kuwa less than 54, ili aweze kuhudumu kwa miaka 5 kabla ya retirement age.
Tujuze umri wake ili tumuingize kwenye mchakato, angalau tumpate naniliu wa pili wa kutoka pande zile baada ya Abdalah!.
P
 
..hayo unayosema sio lazima.

..Mabeyo ni wa mwaka 1956 lakini aliteuliwa 2016/17.

..tena alikuwa anampokea mstaafu Mwamunyange ambaye ni wa mwaka 1959.
 
Asante kwa taarifa ya utambulisho wa balozi huyu, najua lengo la utambulisho huu, swali ni jee umri wake unaruhusu? ili aweze ... , anapaswa kuwa less than 54, ili aweze kuhudumu kwa miaka 5 kabla ya retirement age.
Tujuze umri wake ili tumuingize kwenye mchakato, angalau tumpate naniliu wa pili wa kutoka pande zile baada ya Abdalah!.
P
Mabeyo kala u CDF akwa above 54! Na sasa hivi Mabeyo ana 65! Means kala u CDF akiwa na 59! Maana kakaa na u CDF kwa miaka 5! (2017 to 2022 )
 
Asante kwa taarifa ya utambulisho wa balozi huyu, najua lengo la utambulisho huu, swali ni jee umri wake unaruhusu? ili aweze ... , anapaswa kuwa less than 54, ili aweze kuhudumu kwa miaka 5 kabla ya retirement age.
Tujuze umri wake ili tumuingize kwenye mchakato, angalau tumpate naniliu wa pili wa kutoka pande zile baada ya Abdalah!.
P
Pascal kuna wakati hua unatoka kabisa kwenye reli,sijui kwa nini! Mabeyo wakati anakuwa CDF alikua above 54! Alikua na 60 kabisa huko
 
Back
Top Bottom