Balozi wa Tanzania nchini Uturuki, Luteni Jenerali Yacoub Mohamed

Balozi wa Tanzania nchini Uturuki, Luteni Jenerali Yacoub Mohamed

Asante kwa taarifa ya utambulisho wa balozi huyu, najua lengo la utambulisho huu, swali ni jee umri wake unaruhusu? ili aweze ... , anapaswa kuwa less than 54, ili aweze kuhudumu kwa miaka 5 kabla ya retirement age.
Tujuze umri wake ili tumuingize kwenye mchakato, angalau tumpate naniliu wa pili wa kutoka pande zile baada ya Abdalah!.
P
Duh, umri sio kitu, anaweza ongezewa, sio wa kwanza
 
Mtoa mada unataka kusema nini? Kuwa amekidhi vigezo vya mama? Dini, taifa? Jinsia je? Kwamba ndo ajaye?

Hamna bwana, mama anasingiziwa, hana hiyo mambo!
 
... badala ya kwenda kupiganisha vita anakula viyoyozi na pizza Ulaya! Sijui kwanini hii nchi haiheshimu profesheni za watu.

Wazo la kijing.a (nikimaanisha kukosa ufahamu au maarifa). Luteni Jenerali ni cheo kikubwa sana katika mfumo wa Jeshi. Na bwana huyu anaifahamu serikali kuliko hao unaoita professionals. After all, kwenye balozi kuna hao professionals wakitimiza majukumu yako ya kumpa ushauri!! Afanyi kazi kama peke yake, anakuta taratibu zimeshawekwa na hao professionals!! Kuwa balozi ni kuwa kiongozi sawa na waziri, mkuu wa mkoa, wilaya, Rais. Sio sawa na kuwa accountant, doctor, etc!
 
Hakuna lolote hapo...umri ushampita, labda Mabele na CS wa sasa.
Huyo mabele si ni lake zone line(Mara)na nyie mshasema hamtaki kusikia mlake zone yeyote anapata uteuzi kwenye serikali yenu ya awamu ya sita?
 
..hayo unayosema sio lazima.

..Mabeyo ni wa mwaka 1956 lakini aliteuliwa 2016/17.

..tena alikuwa anampokea mstaafu Mwamunyange ambaye ni wa mwaka 1959.
Mkuu JokaKuu, duh...!. Baada ya Mwamunyange kufikia retirement age, Blaza akamgomea kwa hoja ya hakuna replacement muafaka, hivyo akaongezwa muda ili grooming ifanywe, the usual grooming ni kwa young juniors into seniors, kama umri uliishasonga vile?!, that means, inawezekana zile tuhuma za nepotism ni kweli na labda kuna kaji nepotism kadogo hapo kali play a role!. That being the case, hakuna ubaya na tukapata CDF kutoka upande wa pili, Mama has the right to have someone she can be very comfortable with. Enzi za Mwalimu, hawa jamaa walitoka Mara, CinC alipotoka Usukumani, CDF akawa Msukuma!, hivyo sasa maadam CinC ni kutoka Zanzibar, hakuna ubaya wowote tukawa na CDF kutoka Zanzibar as long as ana sifa stahiki na anakidhi vigezo vyote!.
P
 
Pascal kuna wakati hua unatoka kabisa kwenye reli,sijui kwa nini! Mabeyo wakati anakuwa CDF alikua above 54! Alikua na 60 kabisa huko
Nimetoka kwenye reli vipi?. Inamaa ... naomba nisimalizie ili ...
P
 
Kumbe balozi wa Malawi Polepole naye ni kachero.
Jf yasikuhizi sijui imevamiwa , ukirudia kusoma nilichoandika nikuwa Hawa mabalozi duniani kote asilimia kubwa ni makachero Sasa polepole Yuko kwenye kundi la asilimia ndogo(pengine wasio makachero)(refer asilimia kubwa hua .....polepole hatujui Yuko kwenye asilimia kubwa au ndogo ya wanadiplomasia hao

Binafsi pia nilimfahamia kwenye michakato wakatiba na pili channel ten akibishana na mchungaji msigwa kuhusu wagombea wa urais ,polepole alikua akimtetea magufuli
 
Pascal kuna wakati hua unatoka kabisa kwenye reli,sijui kwa nini! Mabeyo wakati anakuwa CDF alikua above 54! Alikua na 60 kabisa huko
Kuna Mambo mawili hapa

1---mahtaji ya jeshi (huandaa watu watano na majina yao hukabidhiwa kwa rais )yeyote atakayeteuliwa pale Basi hakuna shida Hawa wanakua na umri hitajika

2----mahtaji ya amiri jeshi mkuu

Anaweza asiteue wote Kati yawale letwa na jeshi lenyewe liliowafanyia vetting

Nahapa ndipo alipodondokea mabeyo hakuwaga kwenye list ya top five

Note; awamu yatano magufuli alikataa majina matano aliyoletewa kwasababu zake akapoint mtu nje ya barabara ndohuyu Leo anastaafu

Kwa katiba yetu eneo Hilo usiangalie umri tunza afya yako na utiifu

Kiitikio; kushoto kulia
 
Mkuu JokaKuu, duh...!. Baada ya Mwamunyange kufikia retirement age, Blaza akamgomea kwa hoja ya hakuna replacement muafaka, hivyo akaongezwa muda ili grooming ifanywe, the usual grooming ni kwa young juniors into seniors, kama umri uliishasonga vile?!, that means, inawezekana zile tuhuma za nepotism ni kweli na labda kuna kaji nepotism kadogo hapo kali play a role!. That being the case, hakuna ubaya na tukapata CDF kutoka upande wa pili, Mama has the right to have someone she can be very comfortable with. Enzi za Mwalimu, hawa jamaa walitoka Mara, CinC alipotoka Usukumani, CDF akawa Msukuma!, hivyo sasa maadam CinC ni kutoka Zanzibar, hakuna ubaya wowote tukawa na CDF kutoka Zanzibar as long as ana sifa stahiki na anakidhi vigezo vyote!.
P
Rais muhehe hawezi pendekeza mlugulu ndio kweli
 
Retirement age ya generali wa jeshi ni umri gan?

Back
Top Bottom