Amun Ra
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 4,713
- 7,218
mzanzibar🤔Balozi wa Tanzania Nchini Uturuki anaitwa Luten General Yacoub Mohamed
.
Asanteni Sana Wakuu [emoji109][emoji109]View attachment 2254455
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mzanzibar🤔Balozi wa Tanzania Nchini Uturuki anaitwa Luten General Yacoub Mohamed
.
Asanteni Sana Wakuu [emoji109][emoji109]View attachment 2254455
Nchi nyingi zinapigana vita, lakini hutasikia mlio wa bomu au risasi.... badala ya kwenda kupiganisha vita anakula viyoyozi na pizza Ulaya! Sijui kwanini hii nchi haiheshimu profesheni za watu.
All ambassador are spies, Hata FSO mostly ni Spies tuBrother tambua asilimia kubwa mabalozi waliowengi ni makachero kote duniani na werevu na diplomasia ,huyo sio tu ulalame anasifa zake gwanda sio ishu
JPM anawatesa sana mabwabwa...[emoji28][emoji28]Hii nchi màgufool aliiharibu sana na lile libichwa lake lenye cancer
Mfate kaburini bwana KYJPM anawatesa sana mabwabwa...[emoji28][emoji28]
Mwamba yuko na vyeo lakini Wala hajavimba kakaa kinyoge tu,
lakini huku ofisini kwetu unakuta boss fala kicheo kidogo tu lakini huo mvimbo wake Sasa.
Kidagaa bwana!Maza anamjengea CV usijeshangaa, ngoja uone na kama ana asili ya visiwani basi "imeisha hiyoo" alisikika Kidagaa
😂😂😂😂😂😂😂
Naniliu wa sasa aliingia ofisini akiwa na miaka 60Asante kwa taarifa ya utambulisho wa balozi huyu, najua lengo la utambulisho huu, swali ni jee umri wake unaruhusu? ili aweze ... , anapaswa kuwa less than 54, ili aweze kuhudumu kwa miaka 5 kabla ya retirement age.
Tujuze umri wake ili tumuingize kwenye mchakato, angalau tumpate naniliu wa pili wa kutoka pande zile baada ya Abdalah!.
P
CDf, Jaji mkuu, professors umri wao wa kustaafu Kwa lazma ni 65. So almost awe chini ya 59Asante kwa taarifa ya utambulisho wa balozi huyu, najua lengo la utambulisho huu, swali ni jee umri wake unaruhusu? ili aweze ... , anapaswa kuwa less than 54, ili aweze kuhudumu kwa miaka 5 kabla ya retirement age.
Tujuze umri wake ili tumuingize kwenye mchakato, angalau tumpate naniliu wa pili wa kutoka pande zile baada ya Abdalah!.
P
Ajaye lazima atoke upande wa pili wa muungano
Homeboy hakuwa na umri huo wakati anapewa so hakuna kinachoshindikanaAsante kwa taarifa ya utambulisho wa balozi huyu, najua lengo la utambulisho huu, swali ni jee umri wake unaruhusu? ili aweze ... , anapaswa kuwa less than 54, ili aweze kuhudumu kwa miaka 5 kabla ya retirement age.
Tujuze umri wake ili tumuingize kwenye mchakato, angalau tumpate naniliu wa pili wa kutoka pande zile baada ya Abdalah!.
P
Brother tambua asilimia kubwa mabalozi waliowengi ni makachero kote duniani na werevu na diplomasia ,huyo sio tu ulalame anasifa zake gwanda sio ishu
Kumbe balozi wa Malawi Polepole naye ni kachero.
Jf yasikuhizi sijui imevamiwa , ukirudia kusoma nilichoandika nikuwa Hawa mabalozi duniani kote asilimia kubwa ni makachero Sasa polepole Yuko kwenye kundi la asilimia ndogo(pengine wasio makachero)(refer asilimia kubwa hua .....polepole hatujui Yuko kwenye asilimia kubwa au ndogo ya wanadiplomasia hao
Binafsi pia nilimfahamia kwenye michakato wakatiba na pili channel ten akibishana na mchungaji msigwa kuhusu wagombea wa urais ,polepole alikua akimtetea magufuli
Masoja si wanaenda hadi 65Asante kwa taarifa ya utambulisho wa balozi huyu, najua lengo la utambulisho huu, swali ni jee umri wake unaruhusu? ili aweze ... , anapaswa kuwa less than 54, ili aweze kuhudumu kwa miaka 5 kabla ya retirement age.
Tujuze umri wake ili tumuingize kwenye mchakato, angalau tumpate naniliu wa pili wa kutoka pande zile baada ya Abdalah!.
P
Unafahamu umri wa hawa wakubwa kustaafu?
Pascal kuna wakati hua unatoka kabisa kwenye reli,sijui kwa nini! Mabeyo wakati anakuwa CDF alikua above 54! Alikua na 60 kabisa huko