Balozi wa Tanzania nchini Uturuki, Luteni Jenerali Yacoub Mohamed

Balozi wa Tanzania nchini Uturuki, Luteni Jenerali Yacoub Mohamed

Asante kwa taarifa ya utambulisho wa balozi huyu, najua lengo la utambulisho huu, swali ni jee umri wake unaruhusu? ili aweze ... , anapaswa kuwa less than 54, ili aweze kuhudumu kwa miaka 5 kabla ya retirement age.
Tujuze umri wake ili tumuingize kwenye mchakato, angalau tumpate naniliu wa pili wa kutoka pande zile baada ya Abdalah!.
P
umri sio issue, Amiri jeshi akikutaka rejea kwa mstaafu cdf aliteuliwa akiwa kwenye retirement age,na katoboa miaka mitano.
 
umri sio issue, Amiri jeshi akikutaka rejea kwa mstaafu cdf aliteuliwa akiwa kwenye retirement age,na katoboa miaka mitano.
Lieutenant General Yacoub Mohammed !! Majina kama hayo tunayasikiaga Nigeria tu kumbe na huku wapo ??!!!
 
Asante kwa taarifa ya utambulisho wa balozi huyu, najua lengo la utambulisho huu, swali ni jee umri wake unaruhusu? ili aweze ... , anapaswa kuwa less than 54, ili aweze kuhudumu kwa miaka 5 kabla ya retirement age.
Tujuze umri wake ili tumuingize kwenye mchakato, angalau tumpate naniliu wa pili wa kutoka pande zile baada ya Abdalah!.
P
Huyu si Chief of Staff?? Kabadilishwa Lini Jirani yangu wa Bunju?
 
..ni miaka 60.

..ukifikisha 60 tu unakabidhi ofisi.

..mifano ipo waliofanya hivyo.
Mkuu, mbona nakumbuka kama miaka iliongezwa? Nakumbuka kwa wa vyeo vya chini, waliongezewa miaka 2 na wale wajuu ni zaidi.

Mabeyo hajaongezewa muda wa kustaafu lakini anaachia na 65. Ingawa naona yeye ni mkubwa kiumri kwa Mwamunyange, 63

Venance Salvatory Mabeyo is a Tanzanian General, and is the eighth Chief of Defense Force to lead the Tanzania People's Defense Force. He was appointed by President John Magufuli on 6 February 2017. Wikipedia
Born: July 1, 1956 (age 65 years), Busega
Education: Tanzania Military Academy
Rank: General

Years of service: 1979-Present
 
Jirani yake halafu usijue?? Usione, wala kusikia vile ving'ora?? Hujiulizi mbona siku hizi huvioni??
Kumbe!! Mara nyingi siku hizi natoka Mapema kabla yake na kurudi Usiku. Si unajua Barabara yetu. Sorry sikuwahi kusikia Uhamisho wake kwenye Media.
 
Mkuu JokaKuu, duh...!. Baada ya Mwamunyange kufikia retirement age, Blaza akamgomea kwa hoja ya hakuna replacement muafaka, hivyo akaongezwa muda ili grooming ifanywe, the usual grooming ni kwa young juniors into seniors, kama umri uliishasonga vile?!, that means, inawezekana zile tuhuma za nepotism ni kweli na labda kuna kaji nepotism kadogo hapo kali play a role!. That being the case, hakuna ubaya na tukapata CDF kutoka upande wa pili, Mama has the right to have someone she can be very comfortable with. Enzi za Mwalimu, hawa jamaa walitoka Mara, CinC alipotoka Usukumani, CDF akawa Msukuma!, hivyo sasa maadam CinC ni kutoka Zanzibar, hakuna ubaya wowote tukawa na CDF kutoka Zanzibar as long as ana sifa stahiki na anakidhi vigezo vyote!.
P
Mbona Jakaya CDF wake alikua Mwamunyange kutoka Mbeya?? Na sio Mkwere mwenzake?? Vivyo hivyo kwa Mkapa alikua Mboma na Waitara wote sio kutoka Mtwara??
 
Mbona Jakaya CDF wake alikua Mwamunyange kutoka Mbeya?? Na sio Mkwere mwenzake?? Vivyo hivyo kwa Mkapa alikua Mboma na Waitara wote sio kutoka Mtwara??
Mkuu Bususwa , kwanza enzi za Mr. Clean, au Mkwere, uliwahi kusikia tuhuma zozote za nepotism?. Lakini alipoingia tuu Bulaza, tuhuma hizi zikaanza kuvurumishiwa, kwanza akina sisi tulimtetea Tuhuma za Ukabila: Wasukuma si Miongoni mwa Makabila yenye Ukabila, tatizo ndio walio wengi! lakini zilipozidi hadi watu wakaanza kuleta ushahidi wa facts, akina sisi Tulitoa wito Wito kwa Bunge letu tukufu: Mkithibisha hii Nepotism ya ajabu na zile Boeing ni TT, then hatufai!.
P
 
Bado ni mashaka (sina uhakika) na katika ripoti mwaka wake wa kuzaliwa kwa sababu jeshini huwa hawaweki mtu aliyekwisha zeeka, akifikia umri fulani tu, inabidi astaafu kwa heshima zote za kijeshi. Akibaki huwa ni kwa amri ya rais na huwa ni mwaka mooja au mwili tu ya extension, na hutangazwa kuwa ameongezewa muda wa utumishi. Kwa yeye kujiunga na jeshi mwaka 1979 ni karibu sawa na Makongoro Nyerere aliyejiunga mwaka 1980 au General Yakubu Mohammed aliyejiunga mwaka 1981 baada ya kumaliza form 6, kwa hiyo umeri wake utakuwa katika range yao pia.
Msisahau kuwa kwa Magufuli lolote liliwezekana.
Si ajabu angeweka hata mtu mwenye 75 kwa utashi wake nje ya katiba
 
Mbona Mwamnyange naye muonekano ulimtupa lkn alikuwa CDF bora tu?
Unataka mfananisha mwamunyange na huyu ? kacheki hata background zao utaelewa.. hata body structure zao
 
Back
Top Bottom