Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,662
- 6,888
Lishe mbovu utotoni!Mbona anatia huruma?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lishe mbovu utotoni!Mbona anatia huruma?
umri sio issue, Amiri jeshi akikutaka rejea kwa mstaafu cdf aliteuliwa akiwa kwenye retirement age,na katoboa miaka mitano.Asante kwa taarifa ya utambulisho wa balozi huyu, najua lengo la utambulisho huu, swali ni jee umri wake unaruhusu? ili aweze ... , anapaswa kuwa less than 54, ili aweze kuhudumu kwa miaka 5 kabla ya retirement age.
Tujuze umri wake ili tumuingize kwenye mchakato, angalau tumpate naniliu wa pili wa kutoka pande zile baada ya Abdalah!.
P
Hiyo ndio miili ya watu wenye afya bora !! Unene ni maradhi tu Mwanamayu !!!Lishe mbovu utotoni!
Lieutenant General Yacoub Mohammed !! Majina kama hayo tunayasikiaga Nigeria tu kumbe na huku wapo ??!!!umri sio issue, Amiri jeshi akikutaka rejea kwa mstaafu cdf aliteuliwa akiwa kwenye retirement age,na katoboa miaka mitano.
Hana Muonekano wa kuwa CDFMbona anatia huruma?
Hakuna Udini Tanzania huwa tunafanyaga balanced diet tu ili tuwe na Afya bora ya Taifa Bandugu !!!Udini.
Huyu si Chief of Staff?? Kabadilishwa Lini Jirani yangu wa Bunju?Asante kwa taarifa ya utambulisho wa balozi huyu, najua lengo la utambulisho huu, swali ni jee umri wake unaruhusu? ili aweze ... , anapaswa kuwa less than 54, ili aweze kuhudumu kwa miaka 5 kabla ya retirement age.
Tujuze umri wake ili tumuingize kwenye mchakato, angalau tumpate naniliu wa pili wa kutoka pande zile baada ya Abdalah!.
P
Mkuu, mbona nakumbuka kama miaka iliongezwa? Nakumbuka kwa wa vyeo vya chini, waliongezewa miaka 2 na wale wajuu ni zaidi...ni miaka 60.
..ukifikisha 60 tu unakabidhi ofisi.
..mifano ipo waliofanya hivyo.
Jirani yako halafu usijue?? Usione, wala kusikia vile ving'ora?? Hujiulizi mbona siku hizi huvioni??Huyu si Chief of Staff?? Kabadilishwa Lini Jirani yangu wa Bunju?
Hatuangaliagi muonekano ! Tunaangaliaga utendaji kazi wa mhusika !!Hana Muonekano wa kuwa CDF
SawaHatuangaliagi muonekano ! Tunaangaliaga utendaji kazi wa mhusika !!
Kumbe!! Mara nyingi siku hizi natoka Mapema kabla yake na kurudi Usiku. Si unajua Barabara yetu. Sorry sikuwahi kusikia Uhamisho wake kwenye Media.Jirani yake halafu usijue?? Usione, wala kusikia vile ving'ora?? Hujiulizi mbona siku hizi huvioni??
Mbona Jakaya CDF wake alikua Mwamunyange kutoka Mbeya?? Na sio Mkwere mwenzake?? Vivyo hivyo kwa Mkapa alikua Mboma na Waitara wote sio kutoka Mtwara??Mkuu JokaKuu, duh...!. Baada ya Mwamunyange kufikia retirement age, Blaza akamgomea kwa hoja ya hakuna replacement muafaka, hivyo akaongezwa muda ili grooming ifanywe, the usual grooming ni kwa young juniors into seniors, kama umri uliishasonga vile?!, that means, inawezekana zile tuhuma za nepotism ni kweli na labda kuna kaji nepotism kadogo hapo kali play a role!. That being the case, hakuna ubaya na tukapata CDF kutoka upande wa pili, Mama has the right to have someone she can be very comfortable with. Enzi za Mwalimu, hawa jamaa walitoka Mara, CinC alipotoka Usukumani, CDF akawa Msukuma!, hivyo sasa maadam CinC ni kutoka Zanzibar, hakuna ubaya wowote tukawa na CDF kutoka Zanzibar as long as ana sifa stahiki na anakidhi vigezo vyote!.
P
Mkuu Bususwa , kwanza enzi za Mr. Clean, au Mkwere, uliwahi kusikia tuhuma zozote za nepotism?. Lakini alipoingia tuu Bulaza, tuhuma hizi zikaanza kuvurumishiwa, kwanza akina sisi tulimtetea Tuhuma za Ukabila: Wasukuma si Miongoni mwa Makabila yenye Ukabila, tatizo ndio walio wengi! lakini zilipozidi hadi watu wakaanza kuleta ushahidi wa facts, akina sisi Tulitoa wito Wito kwa Bunge letu tukufu: Mkithibisha hii Nepotism ya ajabu na zile Boeing ni TT, then hatufai!.Mbona Jakaya CDF wake alikua Mwamunyange kutoka Mbeya?? Na sio Mkwere mwenzake?? Vivyo hivyo kwa Mkapa alikua Mboma na Waitara wote sio kutoka Mtwara??
Msisahau kuwa kwa Magufuli lolote liliwezekana.Bado ni mashaka (sina uhakika) na katika ripoti mwaka wake wa kuzaliwa kwa sababu jeshini huwa hawaweki mtu aliyekwisha zeeka, akifikia umri fulani tu, inabidi astaafu kwa heshima zote za kijeshi. Akibaki huwa ni kwa amri ya rais na huwa ni mwaka mooja au mwili tu ya extension, na hutangazwa kuwa ameongezewa muda wa utumishi. Kwa yeye kujiunga na jeshi mwaka 1979 ni karibu sawa na Makongoro Nyerere aliyejiunga mwaka 1980 au General Yakubu Mohammed aliyejiunga mwaka 1981 baada ya kumaliza form 6, kwa hiyo umeri wake utakuwa katika range yao pia.
Zanzibar Sehem ganCha kuongeza,huyu bwana ni mzanzibar.
Mbona Mwamnyange naye muonekano ulimtupa lkn alikuwa CDF bora tu?Hana Muonekano wa kuwa CDF
Unataka mfananisha mwamunyange na huyu ? kacheki hata background zao utaelewa.. hata body structure zaoMbona Mwamnyange naye muonekano ulimtupa lkn alikuwa CDF bora tu?