Balozi wa Tanzania nchini Uturuki, Luteni Jenerali Yacoub Mohamed

Sasa hawa wana tija gani jamani? Ni kama nchi imekosa watu wenye sifa na uwezo
 
... badala ya kwenda kupiganisha vita anakula viyoyozi na pizza Ulaya! Sijui kwanini hii nchi haiheshimu profesheni za watu.
Nchi nyingi zinapigana vita, lakini hutasikia mlio wa bomu au risasi.

Kuna cyber wars, economic wars, cultural wars, political wars, ukiona bongo vijana wanaimba hip-hop , ujue hayo ni mafanikio ya vita ya kitamaduni ya Wana magharibi, ukiona demokrasia, mavazi, and the like
 
Asante kwa taarifa ya utambulisho wa balozi huyu, najua lengo la utambulisho huu, swali ni jee umri wake unaruhusu? ili aweze ... , anapaswa kuwa less than 54, ili aweze kuhudumu kwa miaka 5 kabla ya retirement age.
Tujuze umri wake ili tumuingize kwenye mchakato, angalau tumpate naniliu wa pili wa kutoka pande zile baada ya Abdalah!.
P
Naniliu wa sasa aliingia ofisini akiwa na miaka 60
 
Asante kwa taarifa ya utambulisho wa balozi huyu, najua lengo la utambulisho huu, swali ni jee umri wake unaruhusu? ili aweze ... , anapaswa kuwa less than 54, ili aweze kuhudumu kwa miaka 5 kabla ya retirement age.
Tujuze umri wake ili tumuingize kwenye mchakato, angalau tumpate naniliu wa pili wa kutoka pande zile baada ya Abdalah!.
P
CDf, Jaji mkuu, professors umri wao wa kustaafu Kwa lazma ni 65. So almost awe chini ya 59
 
Asante kwa taarifa ya utambulisho wa balozi huyu, najua lengo la utambulisho huu, swali ni jee umri wake unaruhusu? ili aweze ... , anapaswa kuwa less than 54, ili aweze kuhudumu kwa miaka 5 kabla ya retirement age.
Tujuze umri wake ili tumuingize kwenye mchakato, angalau tumpate naniliu wa pili wa kutoka pande zile baada ya Abdalah!.
P
Homeboy hakuwa na umri huo wakati anapewa so hakuna kinachoshindikana

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
Sio kweli kwamba mabalozi duniani kote asilimia kubwa ni makechero bali katika ya wafanyakazi wa ubalozi mara nyingi huwa wanapachika makechero.
Jf yasikuhizi sijui imevamiwa , ukirudia kusoma nilichoandika nikuwa Hawa mabalozi duniani kote asilimia kubwa ni makachero Sasa polepole Yuko kwenye kundi la asilimia ndogo(pengine wasio makachero)(refer asilimia kubwa hua .....polepole hatujui Yuko kwenye asilimia kubwa au ndogo ya wanadiplomasia hao

Binafsi pia nilimfahamia kwenye michakato wakatiba na pili channel ten akibishana na mchungaji msigwa kuhusu wagombea wa urais ,polepole alikua akimtetea magufuli
 
Asante kwa taarifa ya utambulisho wa balozi huyu, najua lengo la utambulisho huu, swali ni jee umri wake unaruhusu? ili aweze ... , anapaswa kuwa less than 54, ili aweze kuhudumu kwa miaka 5 kabla ya retirement age.
Tujuze umri wake ili tumuingize kwenye mchakato, angalau tumpate naniliu wa pili wa kutoka pande zile baada ya Abdalah!.
P
Masoja si wanaenda hadi 65
 
Paskali ni mlevi mbwa anaandika akiwa amelewa
Pascal kuna wakati hua unatoka kabisa kwenye reli,sijui kwa nini! Mabeyo wakati anakuwa CDF alikua above 54! Alikua na 60 kabisa huko
 
Back
Top Bottom