Balozi wa Tanzania nchini Uturuki, Luteni Jenerali Yacoub Mohamed

Luteni Jenerali MATHEW LUKINGULE ndie atakayekuwa CDF mpya,kwanza bado kijana sana kaingia Jeshini mwaka 1995 hivyo damu bado inachemka,huyu Lt.Jenerali Yacob anastaafu mwisho wa mwaka huu
 
Luteni Jenerali MATHEW LUKINGULE ndie atakayekuwa CDF mpya,kwanza bado kijana sana kaingia Jeshini mwaka 1995 hivyo damu bado inachemka,huyu Lt.Jenerali Yacob anastaafu mwisho wa mwaka huu
Uamuzi ni wa Mkuu wa Nchi halazimishwi kufuata ushauri wa mshauri yeyote ! Yeye hupelekewa majina ya wale ambao wamekidhi vigezo tu ! Lakini uchaguzi ni wake !! (Commander in Chief of the armed forces ) !!!
 
Mkuu huyu wa sasa unajua umri wake. Ukinijibu hilo utajua dhahiri kuwa umri sio kigezo.
 
Wakati wa Mwinyi CDF alitoka wapi? Na wakati wa Mkapa je? Seuze JK??[emoji1745][emoji1745][emoji1745][emoji1745][emoji1745][emoji1745]
 
Usilolijua nikama.........
 
Totally wrong. Msiongee mambo ya hovyo hovyo kwa kuwa tu mna uhuru huo. Haya mambo yanahitaji fact ndugu.
 
Umesema CDF awe below 54! Nikasema mbona Mabeyo kapata u CDF above 54??
Hapa ndo betting inapokuwa ngumu. Ov/Un[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wako wawili...mmoja yupo jeshini ambaye ndo chief of staff na mwingine ni balozi nchini uturuki.

Sent using Jamii Forums mobile app

Labda useme ma meja general
Ila Luten General huwa ni 1 tu ambaye Mara nyingi anakuwa Katibu mkuu wa jeshi (COS)

Bahati now wapo wawili maana aliyepita alihamishiwa uturuki ambaye ndiyo huyo yakub na wa sasa ni mwengine ambaye ni COS
Ni zaidi ya wawili; nadhani mwingine ni Mkuu wa Chuo cha Monduli, na mwingine anaongoza kamandi mojawapo ya jeshi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…