Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Man shut your ……huna point yoyote. Kwanza hawakufanya kosa lolote is why hawatoshitakiwa kokote, mbona wahusika hawajajitokeza kukana tuhuma ?Sugu kautaka na chadema yake asa ndio ataandamana kwa kufata taratibu za nchi
Umeambiwa hakuna taarifa zaidi, wewe hizi umezitoa wapi?Hawa Wafaransa waliotolewa mbio na Ibrahim Traore leo ni wema kwa Waafrika?
Huyo hapo yupo kwenye "wagawe uwatawale" na mijinga ya chadomo itamwona anafanya la maana.
Hapa ndani tu mmeshindwa kuji manage, eti mna mafuta na madini? Unajua nchi ngapi zina similar resources?tumadini twetu na tumafuta twa uganda
Sugu hapo anaonekana kama Tumbiri kakaa na binadam. Kwa mtazamo wa wafaransa kwa Waafrika.Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba leo, Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzania, amefika Mahali alipojihifadhi Bwana Joseph Mbilinyi, Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa ili kumpa pole na kumjulia hali kutokana na kipigo cha kutisha alichopewa na Polisi walioelekezwa kufanya hivyo na Awadh Haji
View attachment 3071731
Taarifa zinaeleza kwamba Wawili hao wamefanya mazungumzo Marefu. (Hakuna taarifa zaidi)
Mungu wabariki Wazungu
Tamko lake ni Awadh kuteuliwa kuwa IGP.Na serikali bado tu haijatoa tamko juu ya hili jambo? Huu ni upofu wa kiuongozi uliopitiliza
Huyu hakumpatia nafasi ya kumtibia bure kwaoKuwa wa Kwanza kufahamu kwamba leo, Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzania, amefika Mahali alipojihifadhi Bwana Joseph Mbilinyi, Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa ili kumpa pole na kumjulia hali kutokana na kipigo cha kutisha alichopewa na Polisi walioelekezwa kufanya hivyo na Awadh Haji
View attachment 3071731
Taarifa zinaeleza kwamba Wawili hao wamefanya mazungumzo Marefu. (Hakuna taarifa zaidi)
Mungu wabariki Wazungu
Watajuta....Unalia nini?
Huo ni muono wangu. Siyo taarifa.Umeambiwa hakuna taarifa zaidi, wewe hizi umezitoa wapi?
Hahahahaha mie nimependa hapo ujue ni Hospital, sio Nyumbani, sofa la maanamtu alopigwa amenawiri hivyo? namie wakanipige walahi, ila wazenj bwana anaweza kukupiga na ufagio wa buibui akajua amekuua
Hawaelewi hao bila rungu kila cku wakipigwa raia tuh hawa viongozi hawatajua unchungu wa virunguMan shut your ……huna point yoyote. Kwanza hawakufanya kosa lolote is why hawatoshitakiwa kokote, mbona wahusika hawajajitokeza kukana tuhuma ?
Wapunguze kukurupuka next time, wanawapa wapinzani promo ya bure
Uchangiaji wako wa mada hapa jukwaani,Hawa Wafaransa waliotolewa mbio na Ibrahim Traore leo ni wema kwa Waafrika?
Huyo hapo yupo kwenye "wagawe uwatawale" na mijinga ya chadomo itamwona anafanya la maana.
Wewe njaa kali unaweza kumchangia nini Bilionea Sugu yaani ni sawa kumtaka mbu amchangie binadamu damu. Wewe kanywe viroba vyako ukalale basi.Chadema chonde chonde sugu tumemuona hali yake .
Hamchelewi kutaka michango ya matibabu
Here is your problem, unaamini katika force wakati kuna sheria na taratibu, kama wao wenyewe hawazifuati kwa nn wengine wazifuate?Hawaelewi hao bila rungu kila cku wakipigwa raia tuh hawa viongozi hawatajua unchungu wa virungu
Ongea tu huo upumbavu wewe chawa lkn ujue kwamba dunia ni tambara bovu hata Magufuli alifanya hayo hayo na hata huyu naye atakuja kufika tu kwenye 18 za Mungu siku inakuja.Wanakuitaa suguuu nanii!!
Rungu moja tuh usugu wote kwisha kila siku nikutembelewa tuh hata kutembea haezi tena
Tii Sheria bila shuruti
Mkuu usiwashtue hao akilindogoMsiwajua mabalozi ni wawakilishi wa Rais ktk nchi husika sio jambo dogo mjue