residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Tanzania hii wala haihitaji wakoloni wafanye hilo la "wagawe uwatawale",wao ni kuongea na CCM na kila kitu watakacho wanapewa.Hawa Wafaransa waliotolewa mbio na Ibrahim Traore leo ni wema kwa Waafrika?
Huyo hapo yupo kwenye "wagawe uwatawale" na mijinga ya chadomo itamwona anafanya la maana.
Hapana mimi sina shobo nao kama wewe nawenzako suguVipi wazungu wamekupiga kipara nini?
Ahahahahaha!!swali lako ni la kijinga mno!
Bila shaka una umaaikini wa akili na HelaHuo ni UJUMBE kwa Joseph Mbilinyi kwamba Mbeya hatutaki hayo masiasa ya maandamano na migogoro na Serikali. Tumechelewa sana kupata maendeleo kwa sababu ya Mbeya kutumika kama sehemu ya figisu na serikali.
Na akina Mbowe wnajuwa kuwa huyu Sugu ni Form IV failure yaani ni wa D 2 kwa hiyo wanamsukumia tu maandamano Mbeya. Mbona wasifanye kwenye mikoa yao ya Kilimanjaro na Singida?
Ninazo hela za kutosha na akili za kutosha. Ila Ubwege wa Sugu umefanya Mbeya tudhalilishwe sana na CHADEMA.Bila shaka una umaaikini wa akili na Hela
Kujipendekeza ni kujipendekeza tuAfadhali ujipendekeze kwa wazungu kwa sababu wana akili, hekima na utu, kuliko kujipendekeza kwa mashetani kama Awadh.
Siku hizi ni aheri mtu akuambie wewe ni nguruwe kuliko kukuita Awadh.
Unazo hela lakini unawaza kulipwa! Halafu mimi kuwa mnyakyusa wa kyela kuna uhusiano gani na mambo ya Chadema?Ninazo hela za kutosha na akili za kutosha. Ila Ubwege wa Sugu umefanya Mbeya tudhalilishwe sana na CHADEMA.
Nikukumbushe tu kati ya mwaka 2010 na 2020 wakati CHADEMA ilikuwa na viti vingi bungeni huku ikiwa na Mbeya ikiwa na wabunge wa kuchaguliwa wawili (Silinde & Sugu), lakini ilipokuja kwenye mgawo wa viti maalum Mbeya haikufikiriwa. Walijaza wachaga watupu ambao ni hawara na dada zao kama Chritina Lissu, Owenya, Suzan Lyimo, Grace, Kiwelu, Joyce Mukya etc.
Wewe unaniona sina akili lakini ambaye hana akili ni Sugu anayekubali maandamano yaletwe Mbeya kuvuruga uchumi na utulivu huku akijenga sintofahamu ya wana Mbeya dhidi ya Serikali.
Wewe Erythrocyte Mnyakyusa wa Kyela unatumika vibaya, sijui wanakulipa ngapi kwa kazi unayofanya JF
Unaonaje upigwe mgongoni ili upendeze.mtu alopigwa amenawiri hivyo? namie wakanipige walahi, ila wazenj bwana anaweza kukupiga na ufagio wa buibui akajua amekuua
Sasa mbona unawasifia?Hapana mimi sina shobo nao kama wewe nawenzako sugu
Nina wasiwasi na Hilo. Kuna wakati alipelekwa kule lakini akarudishwa. Hata shangazi hatambui hilo. Ila kuna tetesi mitandaoni kwamba yeye ni "coloured".yaani huyu jamaa kumbe ni mzanzibari? anawafanya hivi watanganyika? au kwasababu rais ni mzanzibari? na vile huwa wanateteana? Tanganyika tutaamka lini?
Ni mshamba tu mmoja toka Kyela anayewshobokea akina MboweUnazo hela lakini unawaza kulipwa! Halafu mimi kuwa mnyakyusa wa kyela kuna uhusiano gani na mambo ya Chadema?
Hapana siwasifii ila ninawaasa nyie wenye shoboSasa mbona unawasifia?
Nani anashobo?Hapana siwasifii ila ninawaasa nyie wenye shobo
KimakondeLugha inayotumika ni ipi?
Chadema imetapakaa kyela yote kuanzia vijijini kabisa , kwa zaidi ya miaka 15 tumejenga msingi imara mno!Ni mshamba tu mmoja toka Kyela anayewshobokea akina Mbowe
Man shut your ……huna point yoyote. Kwanza hawakufanya kosa lolote is why hawatoshitakiwa kokote, mbona wahusika hawajajitokeza kukana tuhuma ?
Wapunguze kukurupuka next time, wanawapa wapinzani promo ya bure
washenzi wakubwa nyie, yaani wafaransa walichokifanya bukinafaso na Niger kweli mnakaa nao? kwelikweli? hivi hamjui niger mali faso wanapambana kuokoa rasilimali zao nanyie mnakaa nao kutusimanga? siajabu mushawambia mkishika nchi mtawapa uranium yetu, maana ya niger wakapokonywa, hapana kabisa, washenzi nyie,Kwa kuwa wewe ukiwa unaumwa kipindupindu chako huwa unakonda na kudhoofika unadhani wote huwatokea hivyo?
Try to be smart before writing stupid stuffs like this..!!
msingelilia kupeleka macosta kutoka ilala na tarime, kama ni msingi basi wa topeChadema imetapakaa kyela yote kuanzia vijijini kabisa , kwa zaidi ya miaka 15 tumejenga msingi imara mno!
Kongamano la vijana wa Chadema lilikuwa la Kimataifa, halikuwa kongamano la ngoma za kiasili za kinyakyusa linalofadhiliwa na fisadi Tuliamsingelilia kupeleka macosta kutoka ilala na tarime, kama ni msingi basi wa tope