Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzania akutana na Joseph Mbilinyi ili kumpa pole kwa kipigo cha Polisi jijini Mbeya

Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzania akutana na Joseph Mbilinyi ili kumpa pole kwa kipigo cha Polisi jijini Mbeya

Hawa Wafaransa waliotolewa mbio na Ibrahim Traore leo ni wema kwa Waafrika?

Huyo hapo yupo kwenye "wagawe uwatawale" na mijinga ya chadomo itamwona anafanya la maana.
Tanzania hii wala haihitaji wakoloni wafanye hilo la "wagawe uwatawale",wao ni kuongea na CCM na kila kitu watakacho wanapewa.

CCM ni madalali wa mali za Tanganyika.
CCM ni laana.
CCM ni mzigo.
CCM ni shetani.
 
Huo ni UJUMBE kwa Joseph Mbilinyi kwamba Mbeya hatutaki hayo masiasa ya maandamano na migogoro na Serikali. Tumechelewa sana kupata maendeleo kwa sababu ya Mbeya kutumika kama sehemu ya figisu na serikali.

Na akina Mbowe wnajuwa kuwa huyu Sugu ni Form IV failure yaani ni wa D 2 kwa hiyo wanamsukumia tu maandamano Mbeya. Mbona wasifanye kwenye mikoa yao ya Kilimanjaro na Singida?
Bila shaka una umaaikini wa akili na Hela
 
Bila shaka una umaaikini wa akili na Hela
Ninazo hela za kutosha na akili za kutosha. Ila Ubwege wa Sugu umefanya Mbeya tudhalilishwe sana na CHADEMA.

Nikukumbushe tu kati ya mwaka 2010 na 2020 wakati CHADEMA ilikuwa na viti vingi bungeni huku ikiwa na Mbeya ikiwa na wabunge wa kuchaguliwa wawili (Silinde & Sugu), lakini ilipokuja kwenye mgawo wa viti maalum Mbeya haikufikiriwa. Walijaza wachaga watupu ambao ni hawara na dada zao kama Chritina Lissu, Owenya, Suzan Lyimo, Grace, Kiwelu, Joyce Mukya etc.

Wewe unaniona sina akili lakini ambaye hana akili ni Sugu anayekubali maandamano yaletwe Mbeya kuvuruga uchumi na utulivu huku akijenga sintofahamu ya wana Mbeya dhidi ya Serikali.

Wewe Erythrocyte Mnyakyusa wa Kyela unatumika vibaya, sijui wanakulipa ngapi kwa kazi unayofanya JF
 
Afadhali ujipendekeze kwa wazungu kwa sababu wana akili, hekima na utu, kuliko kujipendekeza kwa mashetani kama Awadh.

Siku hizi ni aheri mtu akuambie wewe ni nguruwe kuliko kukuita Awadh.
Kujipendekeza ni kujipendekeza tu
 
Ninazo hela za kutosha na akili za kutosha. Ila Ubwege wa Sugu umefanya Mbeya tudhalilishwe sana na CHADEMA.

Nikukumbushe tu kati ya mwaka 2010 na 2020 wakati CHADEMA ilikuwa na viti vingi bungeni huku ikiwa na Mbeya ikiwa na wabunge wa kuchaguliwa wawili (Silinde & Sugu), lakini ilipokuja kwenye mgawo wa viti maalum Mbeya haikufikiriwa. Walijaza wachaga watupu ambao ni hawara na dada zao kama Chritina Lissu, Owenya, Suzan Lyimo, Grace, Kiwelu, Joyce Mukya etc.

Wewe unaniona sina akili lakini ambaye hana akili ni Sugu anayekubali maandamano yaletwe Mbeya kuvuruga uchumi na utulivu huku akijenga sintofahamu ya wana Mbeya dhidi ya Serikali.

Wewe Erythrocyte Mnyakyusa wa Kyela unatumika vibaya, sijui wanakulipa ngapi kwa kazi unayofanya JF
Unazo hela lakini unawaza kulipwa! Halafu mimi kuwa mnyakyusa wa kyela kuna uhusiano gani na mambo ya Chadema?
 
yaani huyu jamaa kumbe ni mzanzibari? anawafanya hivi watanganyika? au kwasababu rais ni mzanzibari? na vile huwa wanateteana? Tanganyika tutaamka lini?
Nina wasiwasi na Hilo. Kuna wakati alipelekwa kule lakini akarudishwa. Hata shangazi hatambui hilo. Ila kuna tetesi mitandaoni kwamba yeye ni "coloured".
 
Dunia inajua ila tatizo ni ujinga wa watanzania
Man shut your ……huna point yoyote. Kwanza hawakufanya kosa lolote is why hawatoshitakiwa kokote, mbona wahusika hawajajitokeza kukana tuhuma ?

Wapunguze kukurupuka next time, wanawapa wapinzani promo ya bure
 
Kwa kuwa wewe ukiwa unaumwa kipindupindu chako huwa unakonda na kudhoofika unadhani wote huwatokea hivyo?

Try to be smart before writing stupid stuffs like this..!!
washenzi wakubwa nyie, yaani wafaransa walichokifanya bukinafaso na Niger kweli mnakaa nao? kwelikweli? hivi hamjui niger mali faso wanapambana kuokoa rasilimali zao nanyie mnakaa nao kutusimanga? siajabu mushawambia mkishika nchi mtawapa uranium yetu, maana ya niger wakapokonywa, hapana kabisa, washenzi nyie,
 
Chadema imetapakaa kyela yote kuanzia vijijini kabisa , kwa zaidi ya miaka 15 tumejenga msingi imara mno!
msingelilia kupeleka macosta kutoka ilala na tarime, kama ni msingi basi wa tope
 
msingelilia kupeleka macosta kutoka ilala na tarime, kama ni msingi basi wa tope
Kongamano la vijana wa Chadema lilikuwa la Kimataifa, halikuwa kongamano la ngoma za kiasili za kinyakyusa linalofadhiliwa na fisadi Tulia
 
Back
Top Bottom