residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Tanzania hii wala haihitaji wakoloni wafanye hilo la "wagawe uwatawale",wao ni kuongea na CCM na kila kitu watakacho wanapewa.Hawa Wafaransa waliotolewa mbio na Ibrahim Traore leo ni wema kwa Waafrika?
Huyo hapo yupo kwenye "wagawe uwatawale" na mijinga ya chadomo itamwona anafanya la maana.
CCM ni madalali wa mali za Tanganyika.
CCM ni laana.
CCM ni mzigo.
CCM ni shetani.