Balozi wa Uingereza nchini Tanzania bi Sarah Cooke asikitishwa na tukio la Mbowe kushambuliwa, atoa wito kwa Serikali

Farujohn haijamwacha salama mtu.kucha kutwa pombe na wanawake.chadema mnatia aibu
 
Mambo ya kujitakia hayo,mtu apige mipombe yake ahangaishe watu.
 

Attachments

  • Screenshot_20200609-220305.png
    111.2 KB · Views: 1
Uliwaona? Si ukatoe ushahidi Polisi?
 
Huyu mwanamke amekuwa mstari wa mbele kuishutumu serikali yetu katika mambo ambayo hana uhakika nayo na kuleta taharuki juu ya nchi yetu.

Amevunja mkataba, kanuni na universal convention ya kutoingilia mambo ya ndani ya nchi anayoiwakilisha.

Katika tukio la Mbowe, ikitokea ripoti ikaonyesha Mh. Mbowe hakushambuliwa bali ni ajali ya kawaida, napendekeza balozi huyu afukuzwe nchini ndani ya 24 hours.
 
Na huo uchunguzi unafanyika na nani??

Taifa la wajinga na makanjanja
Watanzania tuna akili zetu ndiyo maana tunaishi maisha yetu na siyo maisha ya wamarekani. Mnajaribu sana kuilazimisha nchi ionekane ina vurugu wakati kuna utulivu.

Mbona huyo balozi hajasema chochote kuhusu mauaji ya floyd? Mguu wa mbowe ni neno sana kuliko kifo cha floyd. Waafrika wa Tanzania tumerogwa na nani? Kudharau nchi yetu na watu wake na kusifu hata mabaya ya weupe?

Watanzania siyo wajinga. JIHESHIMU UHESHIMIWE.
 
Mwambie George floyd amezikwa kwanza au anareta domo tu. Huko Marekani kumewaka taa bango liko kubwa sana mbona ajiongeleshi, au huyu Mbowe yeye alitoka naye moshi?

Tunataka aongelee kwake hizo mambo zao nini kinamuwasha au ndio tayari kashapata yutiyai ya kwa hisani ya mpalange I thoughts this woman she is hopeless who needed to get advices. Why she always talk nonsenses without evidence
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…