Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Faru John sio chai.Hata kama alikuwa amelewa wengi wanalewa,, ila kinachoshangaza ni kwamba "kwanini Mambo yote mabaya ktk siasa yanawakuta wapinzani tu?" Inatafakarisha sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Faru John sio chai.Hata kama alikuwa amelewa wengi wanalewa,, ila kinachoshangaza ni kwamba "kwanini Mambo yote mabaya ktk siasa yanawakuta wapinzani tu?" Inatafakarisha sana.
Mbona hakujua corona na ilimshinda?
Tumia akili zako wacha kutumia na kuwaabudu hao USA mpaka ukapoteza utu wako.
zito hamuwezi jalibu muone ,kama hautaondoka wewe ?Kama serikali ndo imemshambulia basi Zitto angekuwa ashashambuliwa siku nyingi tu!
Did I quote you?zito hamuwezi jalibu muone ,kama hautaondoka wewe ?
Unayenyooshwa ni weweMtanyooka tu
Bi Sarah Cooke anaeleza kusikitishwa na tukio la Mbowe kushambuliwa, aidha anavitaka vyombo vya usalama kuhakikisha kuwa wanasiasa wanatoa maoni yao kwa uhuru kuelekea uchaguzi mkuu.
''I am deeply concerned by the attack on Chadema Chairman Freeman Mbowe. All politicians in Tanzania must be free to represent their constituents without fear of violence, especially as the 2020 election campaign starts. I hope the perpetrators will be identified & held accountable''
My take: Nasisitiza kuwa Mbowe ameshambuliwa na wahuni wanaoiunga mkono serikali ya JPM ambao walikuwa wamebeba silaha ya SMG na upo uwezekano mkubwa wametokea jeshi la POLICE!
Watanzania tuna akili zetu ndiyo maana tunaishi maisha yetu na siyo maisha ya wamarekani. Mnajaribu sana kuilazimisha nchi ionekane ina vurugu wakati kuna utulivu.Na huo uchunguzi unafanyika na nani??
Taifa la wajinga na makanjanja