Balozi wa Uingereza nchini Tanzania bi Sarah Cooke asikitishwa na tukio la Mbowe kushambuliwa, atoa wito kwa Serikali

Katika watu wameharibu mission nzima ni Ndugai kudhani kupanga ile drama bungeni anaweka mambo sawa kumbe ndio kaharibu kabisa kwenye USO wa dunia.

Asidhani kushambuliwa kwa kiongozi wa upinzani ni jambo dogo hata chembe, utulivu huu ni kwa ukondoo wa Tanzania tuu lakini ingekuwa nchi nyingine pengine vurugu ambazo zingekuwa zinaendelea sasa hivi maisha ya wengi yangeshapotea na Mali kuharibiwa.

Hata hao diplomats wanajua usalama wa RAIA wao ni mashakani kwa tabia hizi.
Dunia imejua kuwa afanyacho Ndugai ni kupoteza malengo kwa makusudi na kuficha ukweli
 
ZALEMDA,

Kila kitu kinajulikana....Mipango inapangwa na spika na wenziwe halafu wanasema Dodoma ni salama. Salama gani....Lissu alipigwa risasi wapi?

Si huyo speaker alisema kuwa hakutatokea crime yoyote...imekuwaje itokee nyingine? Mmeona kuwa kuna need ya kumuumiza mpinzani mwingine........Wewe ondoa upuuzi wako wa UVCCM. Mnachojua ni kuteka na kuua tu.
 
Hiyo kazi ya kufukuza mabarozi na wazungu wanye vieleele wanaiweza Burundi tu sisi tunawavumiliaga tu
 
Hutaki aingilie wakati kila wakati unapokea misaada na mikopo yake? Ina maana Mbowe ni mjinga mpaka ajisingizie kupigwa wakati kaumia mwenyewe?
Msitumie nguvu nyingi kuzima hili jambo wakati utasema
Hiyo ni pombe aina ya K-VANT, watu gani wanakushambulia huonyeshi ngeu au alikumbana na makomandoo!
 
Mkuu Hiki kitu kikubwa huwa mnakisema kila Mara lakini hakitokei kwanini? Tanzania ni nchi huru nyie endeleeni kusubiri kitu kikubwa kutokea

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Eti kiongozi wa kambi ya upinzani!!! Anawezaje kwenda bar kulewa mpaka usiku wa manane tena bila hata ya kuwa mlinzi? Huu ni ujuha wa kupitiza . Alijitakia mwenyewe kushambuliwa . Pungezeni kulalamika.
 
Hutaki aingilie wakati kila wakati unapokea misaada na mikopo yake? Ina maana Mbowe ni mjinga mpaka ajisingizie kupigwa wakati kaumia mwenyewe?
Msitumie nguvu nyingi kuzima hili jambo wakati utasema
Mbowe alikuwa NYAGI kadondoka sasa anaficha aibu kwa kusingizia kavamiwa, unavamiwa unapigwa halafu miwani inabakia mizima....!!!!!
 
Hizo ndio rangi za hao mabeberu(their true colours)Usipate taabu nae. Balozi analikoroga, atalinywa tu. ZALEMDA
 
Inafurahisha sana Pale unapodhani Balozi wa US unaweza kum-treat kama mnavyowafanyia wakina Bulaya na Mdee.
 
Watu hawaelewi kwanini mbowe kajitaftia ajali feki, iko hivi.

JPM wakati anafungua bunge Mwaka 2015 Mbowe aliwashawishi wenzake watoke nje.

Wiki ijayo tena jpm anarudi humohumo walimomkimbia kuvunja bunge. Jamaa ametafta kila namna kumkwepa JPM mara lockdown lakini zote zmebuma. Sasa kaamua kufanya alichokifanya ili kumkwepa mwamba.
 
Kwani lazima uandike kiingereza. Unawaletea ukakasi na kuwatoa kwenye hoja wabobezi wa hii lugha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…