Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Katika watu wameharibu mission nzima ni Ndugai kudhani kupanga ile drama bungeni anaweka mambo sawa kumbe ndio kaharibu kabisa kwenye USO wa dunia.
Asidhani kushambuliwa kwa kiongozi wa upinzani ni jambo dogo hata chembe, utulivu huu ni kwa ukondoo wa Tanzania tuu lakini ingekuwa nchi nyingine pengine vurugu ambazo zingekuwa zinaendelea sasa hivi maisha ya wengi yangeshapotea na Mali kuharibiwa.
Hata hao diplomats wanajua usalama wa RAIA wao ni mashakani kwa tabia hizi.
Dunia imejua kuwa afanyacho Ndugai ni kupoteza malengo kwa makusudi na kuficha ukweli