Balozi wa Uingereza nchini Tanzania bi Sarah Cooke asikitishwa na tukio la Mbowe kushambuliwa, atoa wito kwa Serikali

Mbowe ameshambuliwa na wahuni kutoka jeshi la polisi na inaonekana wanaungwa mkono na serikali. Nawahakikishieni kuwa hili limetufika shingoni. Tutaonyeshana uanaume hasa! Tukae tayari wajinga nyie.
Hahahahahahahha[emoji12]
 
Bi Sarah Cooke anaeleza kusikitishwa na tukio la Mbowe kushambuliwa, aidha anavitaka vyombo vya usalama kuhakikisha kuwa wanasiasa wanatoa maoni yao kwa uhuru kuelekea uchaguzi mkuu.

''I am deeply concerned by the attack on Chadema Chairman Freeman Mbowe. All politicians in Tanzania must be free to represent their constituents without fear of violence, especially as the 2020 election campaign starts. I hope the perpetrators will be identified & held accountable''

My take: Nasisitiza kuwa Mbowe ameshambuliwa na wahuni wanaoiunga mkono serikali ya JPM ambao walikuwa wamebeba silaha ya SMG na upo uwezekano mkubwa wametokea jeshi la POLICE!
Mungu wabariki Wazungu
 
Kinacho waponza hao wanaojiona ni mitume ni kuendelea kuamini kuwa watanzania bado ni watu wa kuisikiliza tiibiisiii
Mbowe ameshambuliwa na wahuni kutoka jeshi la polisi na inaonekana wanaungwa mkono na serikali. Nawahakikishieni kuwa hili limetufika shingoni. Tutaonyeshana uanaume hasa! Tukae tayari wajinga nyie.
 
mama nyamaza usije ukapewa masaa 24 kufunga vilivyo vyako.

Hawasemwi hawa!!
 
Jaribuni kumgusa kwa maneno yenu ya shobo muone cha mtema kuni
Arudi kwao huyo barozi akapambane na covid.kimbelembele tu kama wa buza.anakera kama nini.
 
Sisi ni kisiwa cha amani
Kwakweli mkuu sasa ni bora tuone mwanaume hasa ni nani. Lazima na wao waone gharama ya kuwapoteza ama kujeruhiwa viongozi wao. Hatuwezi kuendelea hivi kisha tukajiita sisi ni nchi! Kamwe hatuwezi!
 
Bi Sarah Cooke anaeleza kusikitishwa na tukio la Mbowe kushambuliwa, aidha anavitaka vyombo vya usalama kuhakikisha kuwa wanasiasa wanatoa maoni yao kwa uhuru kuelekea uchaguzi mkuu.

''I am deeply concerned by the attack on Chadema Chairman Freeman Mbowe. All politicians in Tanzania must be free to represent their constituents without fear of violence, especially as the 2020 election campaign starts. I hope the perpetrators will be identified & held accountable''

My take: Nasisitiza kuwa Mbowe ameshambuliwa na wahuni wanaoiunga mkono serikali ya JPM ambao walikuwa wamebeba silaha ya SMG na upo uwezekano mkubwa wametokea jeshi la POLICE!
Achana na mlevi huyo mshaurini pia aache kuhangaika na wanawake ameshazeeka huyo!
 
Bi Sarah Cooke anaeleza kusikitishwa na tukio la Mbowe kushambuliwa, aidha anavitaka vyombo vya usalama kuhakikisha kuwa wanasiasa wanatoa maoni yao kwa uhuru kuelekea uchaguzi mkuu.

''I am deeply concerned by the attack on Chadema Chairman Freeman Mbowe. All politicians in Tanzania must be free to represent their constituents without fear of violence, especially as the 2020 election campaign starts. I hope the perpetrators will be identified & held accountable''

My take: Nasisitiza kuwa Mbowe ameshambuliwa na wahuni wanaoiunga mkono serikali ya JPM ambao walikuwa wamebeba silaha ya SMG na upo uwezekano mkubwa wametokea jeshi la POLICE!
Mtaumbuliwa na Lijuakali nyie!
 
Back
Top Bottom