Mkuu mfano wa data muhimu za watu ambazo zipo humu ni zipi?Hawa Mabalozi wengi wao - karibu wote Ni spy chiefs wa nchi zao, sijui wamenusa Ni humu JF wanachotaka kukijua ili taarifa ziende kunako husika... Uongozi wa Jf uwe makini sana Na hawa so called Mabalozi maana wana kinga ya kibalozi Kwa kosa lolote watakalo lifanya ndani Na nje ya nchi yetu. Buchani kwenye nyama ndipo hukimbiliwa Na nzi wengi- Amkeni. Sio kila wakati mabalozi sebuleni, Na nyie muna data muhimu za watu humu...
-Data za vipaji vya watuMkuu mfano wa data muhimu za watu ambazo zipo humu ni zipi?
Tangu miaka ya nyuma, hawa ndio wafadhili wa huu mtandao-Data za vipaji vya watu
-Data za mawazo ya watu- kumbuka superio ideas
-Data za emails za watu ( contacts zao)
- Data za location za watu
- Data za nini watu wanafikilia kuhusu nini wapi na lini.
- Hawa watu huwa hawachomi tu mafuta kwenda sehemu bila malengo yao…
- Muda si mrefu utasikia matokeo yao…
Hata sura zao very simpleNinachowafurahiaga ma IT ni kwamba, huwa hawana complications, wanavaa very simple, wengine utakuta amebeba kibegi kama mwanafunzi kina laptop yake chini ana raba za kawaida tu hajali, ila mambo yao ni makubwa sana.
Ona tu JF walivyounganisha watu hadi sisi wengine tunapata nafasi ya kukumbushana na watu Neno la Mungu. Mungu awabariki sana.
Hao huwa hawaji hawaji tuHongera sana viongozi waandamizi wa jf na washiriki wote,
Binafsi naiona jf ikikua ndani na nje ya nchi yetu.
Yote mema,Mimi furaha yangu ni kwamba kijiwe chetu kinazidi kupaaHao huwa hawaji hawaji tu
Wanatafuta platforms za kunenea yao maana uchaguzi umekaribia
JamiiForums inazidi kuwa chombo tajwa zaidi nyumbani na kimataifa.
Kongole kwa JamiiForums kuongoza katika kuhabarisha umma mpana kwa njia ya Kisasa zaidi na kuwa tegemeo kwa wengi
Huyo waziri anaendaga kwa kina millard,sjui carry mastori na media zingine za udaku tuVery impressive.
Chakushangaza, kuna waziri wa technologia unaweza kuta hata hajui ofisi za hawa jamaa ziko wapi.
Kwamza nilitegemea, wao ndo wawe page ya kwanza kabisa kufunguliwa na government ministry.
Kwa hiyo wanafuatilia ufadhili wao. Naoma wamefanya Data mining ya kutosha kama ni kweli wao ndo wafadhali. Sijui hata Servers za JF ziko wapi, maana huko nako kuna issue ya access, na sijui hizi servers zinakuwa govern na sheria ya nchi gani kwa madhumuni ya Data protection, processing and accessibility? Siku ikitokea Data Breach tujue tunawashitaki kwa sheria ya nchi gani...Kumlinda mtumiaji au mlaji wa Data ni pamoja na kujua makazi ya mlinzi yako wapi, nani ana serve data zao na nani ni processor. Hawa Jamaa ( Mabalozi) huwa ni hatari sana kwa udukuaji wa taarifa za watu kwa kutumia mitandao ya social media. Hii ni mara ya pili kwa hawa jamaa kwenda huko JF HQ. walisahau nini mara ya kwanza?Tangu miaka ya nyuma, hawa ndio wafadhili wa huu mtandao
huyo uliyemzungushia kaduara ni wewe?View attachment 2919829
Na wafanyakazi wote walikuwepo
JamiiForums inachukua email tu wakati wakujisajili kwa mwanachama. Email ya mwanachama tunakuwa nayo ili kureset password inapohitajika na sio kwa matumizi mengine. Tafadhali soma zaidi kuhusu sera yetu ya faragha Privacy policy-Data za vipaji vya watu
-Data za mawazo ya watu- kumbuka superio ideas
-Data za emails za watu ( contacts zao)
- Data za location za watu
- Data za nini watu wanafikilia kuhusu nini wapi na lini.
- Hawa watu huwa hawachomi tu mafuta kwenda sehemu bila malengo yao…
- Muda si mrefu utasikia matokeo yao…
Asante, na servers zenu ziko nchi gani na zinakuwa governed na sheria za nchi gani?JamiiForums inachukua email tu wakati wakujisajili kwa mwanachama. Email ya mwanachama tunakuwa nayo ili kureset password inapohitajika na sio kwa matumizi mengine. Tafadhali soma zaidi kuhusu sera yetu ya faragha Privacy policy