S.M.P2503
JF-Expert Member
- Nov 25, 2008
- 2,421
- 4,344
Hawa Mabalozi wengi wao - karibu wote Ni spy chiefs wa nchi zao, sijui wamenusa Ni humu JF wanachotaka kukijua ili taarifa ziende kunako husika... Uongozi wa Jf uwe makini sana Na hawa so called Mabalozi maana wana kinga ya kibalozi Kwa kosa lolote watakalo lifanya ndani Na nje ya nchi yetu. Buchani kwenye nyama ndipo hukimbiliwa Na nzi wengi- Amkeni. Sio kila wakati mabalozi sebuleni, Na nyie muna data muhimu za watu humu...