Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) pamoja na Balozi wa Ujerumani nchini waitembelea JamiiForums

Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) pamoja na Balozi wa Ujerumani nchini waitembelea JamiiForums

Hawa Mabalozi wengi wao - karibu wote Ni spy chiefs wa nchi zao, sijui wamenusa Ni humu JF wanachotaka kukijua ili taarifa ziende kunako husika... Uongozi wa Jf uwe makini sana Na hawa so called Mabalozi maana wana kinga ya kibalozi Kwa kosa lolote watakalo lifanya ndani Na nje ya nchi yetu. Buchani kwenye nyama ndipo hukimbiliwa Na nzi wengi- Amkeni. Sio kila wakati mabalozi sebuleni, Na nyie muna data muhimu za watu humu...
 
Mkuu mfano wa data muhimu za watu ambazo zipo humu ni zipi?
 
Mkuu mfano wa data muhimu za watu ambazo zipo humu ni zipi?
-Data za vipaji vya watu
-Data za mawazo ya watu- kumbuka superio ideas
-Data za emails za watu ( contacts zao)
  • Data za location za watu
  • Data za nini watu wanafikilia kuhusu nini wapi na lini.
  • Hawa watu huwa hawachomi tu mafuta kwenda sehemu bila malengo yao…
  • Muda si mrefu utasikia matokeo yao…
 
Tangu miaka ya nyuma, hawa ndio wafadhili wa huu mtandao
 
Hongera sana viongozi waandamizi wa jf na washiriki wote,
Binafsi naiona jf ikikua ndani na nje ya nchi yetu.
 
Ninachowafurahiaga ma IT ni kwamba, huwa hawana complications, wanavaa very simple, wengine utakuta amebeba kibegi kama mwanafunzi kina laptop yake chini ana raba za kawaida tu hajali, ila mambo yao ni makubwa sana.

Ona tu JF walivyounganisha watu hadi sisi wengine tunapata nafasi ya kukumbushana na watu Neno la Mungu. Mungu awabariki sana.
Hata sura zao very simple

Si umeona wadada wamepachika tu lipsticks?
 
Hongera sana viongozi waandamizi wa jf na washiriki wote,
Binafsi naiona jf ikikua ndani na nje ya nchi yetu.
Hao huwa hawaji hawaji tu

Wanatafuta platforms za kunenea yao maana uchaguzi umekaribia
 
Hao huwa hawaji hawaji tu

Wanatafuta platforms za kunenea yao maana uchaguzi umekaribia
Yote mema,Mimi furaha yangu ni kwamba kijiwe chetu kinazidi kupaa
mengine ni kushirikisha bongo zetu,ukikuta wameleta yasiyofaa unachangia maoni kuyapuuza.
 
Natamani watu wote tuamke tujue ajenda zao hawa waliotukoloni.

Hapo wanaimezea jf mate ili waigeuze sehemu yao ya kuweka propaganda zao na kuzuia taarifa fulani zisitufikie.
 
JamiiForums inazidi kuwa chombo tajwa zaidi nyumbani na kimataifa.

Kongole kwa JamiiForums kuongoza katika kuhabarisha umma mpana kwa njia ya Kisasa zaidi na kuwa tegemeo kwa wengi

Nadhani wametembua kuwa JF ndiyo chombo pekee huru cha habari.

Hawawezi kupoteza muda kwenda kutembelea vyombo vya habari vya watawala wa CCM kama TBC, Uhuru, Channel 10, Habari leo au Daily News, kwa sababu habari zake ni biased.
 
Very impressive.

Chakushangaza, kuna waziri wa technologia unaweza kuta hata hajui ofisi za hawa jamaa ziko wapi.

Kwamza nilitegemea, wao ndo wawe page ya kwanza kabisa kufunguliwa na government ministry.
Huyo waziri anaendaga kwa kina millard,sjui carry mastori na media zingine za udaku tu

Ova
 
Screenshot_20240229_091214_Samsung Internet.png

Na wafanyakazi wote walikuwepo
 
Tangu miaka ya nyuma, hawa ndio wafadhili wa huu mtandao
Kwa hiyo wanafuatilia ufadhili wao. Naoma wamefanya Data mining ya kutosha kama ni kweli wao ndo wafadhali. Sijui hata Servers za JF ziko wapi, maana huko nako kuna issue ya access, na sijui hizi servers zinakuwa govern na sheria ya nchi gani kwa madhumuni ya Data protection, processing and accessibility? Siku ikitokea Data Breach tujue tunawashitaki kwa sheria ya nchi gani...Kumlinda mtumiaji au mlaji wa Data ni pamoja na kujua makazi ya mlinzi yako wapi, nani ana serve data zao na nani ni processor. Hawa Jamaa ( Mabalozi) huwa ni hatari sana kwa udukuaji wa taarifa za watu kwa kutumia mitandao ya social media. Hii ni mara ya pili kwa hawa jamaa kwenda huko JF HQ. walisahau nini mara ya kwanza?
 
Hawakupika pilau na nyama? Au ofisi haziko Tanzania 🤣

Hivi kwanini wanawake wa kitanzania wakijipata sura zinakua za duara
 
-Data za vipaji vya watu
-Data za mawazo ya watu- kumbuka superio ideas
-Data za emails za watu ( contacts zao)
  • Data za location za watu
  • Data za nini watu wanafikilia kuhusu nini wapi na lini.
  • Hawa watu huwa hawachomi tu mafuta kwenda sehemu bila malengo yao…
  • Muda si mrefu utasikia matokeo yao…
JamiiForums inachukua email tu wakati wakujisajili kwa mwanachama. Email ya mwanachama tunakuwa nayo ili kureset password inapohitajika na sio kwa matumizi mengine. Tafadhali soma zaidi kuhusu sera yetu ya faragha Privacy policy
 
Asante, na servers zenu ziko nchi gani na zinakuwa governed na sheria za nchi gani?
 
Back
Top Bottom