S.M.P2503
JF-Expert Member
- Nov 25, 2008
- 2,421
- 4,344
JamiiForums inachukua email tu wakati wakujisajili kwa mwanachama. Email ya mwanachama tunakuwa nayo ili kureset password inapohitajika na sio kwa matumizi mengine. Tafadhali soma zaidi kuhusu sera yetu ya faragha Privacy policy
Ukiangalia privacy policy yenu, sio tu email , na hizi taarifa hapa chini huwa munazichukua kwa madhumuni ya nini?
The type of data that we collect and process includes:
- Your name or username(Your display name)- Sawa
- Your email address(used during registration)- sawa
- Date and time of access - sawa
- Your browser details (name and version) - kwa nini?
- Your device operating system- kwa nini?