Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) pamoja na Balozi wa Ujerumani nchini waitembelea JamiiForums

Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) pamoja na Balozi wa Ujerumani nchini waitembelea JamiiForums

JamiiForums inachukua email tu wakati wakujisajili kwa mwanachama. Email ya mwanachama tunakuwa nayo ili kureset password inapohitajika na sio kwa matumizi mengine. Tafadhali soma zaidi kuhusu sera yetu ya faragha Privacy policy

Ukiangalia privacy policy yenu, sio tu email , na hizi taarifa hapa chini huwa munazichukua kwa madhumuni ya nini?

The type of data that we collect and process includes:
  • Your name or username(Your display name)- Sawa
  • Your email address(used during registration)- sawa
  • Date and time of access - sawa
  • Your browser details (name and version) - kwa nini?
  • Your device operating system- kwa nini?
Kumbukeni pia kwamba wengine tunatumia computer za kazi kuiangalia JF , sasa kama munakusanya yote hayo, hamuoni kwamba munatuweka wengine kwenye risk ya Data Breaches kama muajili akiamua kutufanyia kweli?
 
Ndugu,

Maswali yako yote yamejibiwa kwenye Sera yetu ya faragha.
 
Leo, Februari 28, 2024, JamiiForums imetembelewa na Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Christine Grau, pamoja na Thomas Terstegen, ambaye ni Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania

Ujumbe wa Mabalozi hao umepata nafasi ya kukutana na Watendaji wa JF na kuona shughuli mbalimbali za Taasisi ikiwa ni pamoja Programu 8 zinazotekelezwa.

View attachment 2919329View attachment 2919330View attachment 2919331View attachment 2919332View attachment 2919334View attachment 2919335
Jamii forums ingekuwa ni mali ya Serikali, ilitakiwa iwe kwenye kitengo kimoja muhimu sana ndani ya Wizara ya mawasiliano
Jamiiforums ni Social Media pekee yenye hadhi inayokaribina na hadhi za Wizara za Serikali
 
Ndoto zangu natamani na kusoma kwa bidii siku moja ntakua hapo mjengoni. Bwana Anisaidie kwakweli.
 
Back
Top Bottom