EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Kama hujui kaa kwa kutulia, unadhani PUTIN mjinga kuingia UkreinHivi mnaoshabikia, hebu nipeni sababu moja ya msingi ya kufurahia yanayoendelea Ukraine? Kwa sababu yoyote ile, Russia haina sababu ya msingi ya kuisambaratisha Ukraine na kuua raia wengi namna hiyo eti kuonyesha nguvu zake. Hata akishinda hii vita, atamtawala nani na nchi gani, ambapo kila kitu kitakuwa chini. Pia wanajeshi kibao wa urusi wamepoteza maisha, nyie mnashangilia tu! Shame!