Balozi wa Urusi asusia kikao cha Umoja wa Mataifa (UN)

Kama hujui kaa kwa kutulia, unadhani PUTIN mjinga kuingia Ukrein
 
Hao ni
Hao ni wale wanaoendeshwa na chuki za kidini kwani kwao popote pale anapounga mkono Marekani wao watapinga tu kwa kile wanachoona kwamba ni Marekani kuzuia mpango wao wa "Global Jihad Mission" iliyopelekea kuundwa kwa vikundi kadhaa vya kigaidi ili kukidhi hilo lengo.

Wao leo hii hata Tanzania ikosane na Kenya halafu Marekani iwe upande wa Tanzania hao jihadists moja kwa moja watakuwa upande wa Kenya bila hata kujali uzalendo.

Leo hii watu wenye imani sawa na wao wananyanyaswa vibaya huko China na India pia tumesikia lakini hutawasikia katu wakilaumu China au India lkn ingekuwa Marekani, Israel au Uingereza hadi server ya huu mtandao ingepasuka kwa maoni yao ya kulaani na wangetangaza (Fatwa) kabisa.
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji116][emoji116]
 
Chakula cha Ukraine hasa ngano na pia mbolea nyingi asilimia kubwa zinauzwa Asia na Africa,sasa kwa akili yako ndogo ndio utaelewa nani anaeumia.
[emoji38][emoji38][emoji38] Kaa Kwa kutulia , nyie sindio Huwa mnaambiana humu kuwa USA ni super power Russia hana kitu na hakuna madhara yoyote atakavyo leta


Africa itadhurika vipi Sasa wakati boss wenu USA yupo atatupatia msaada
 
Hiii hiiii [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Wewe ni nani mpaka useme Russia haina sababu ya kuishambulia ukraine? Unahisi putin kaamka tu na kutoa amri kwamba Russia ianze uvamizi? Nenda kafanye utafiti ujue sababu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Putin anatumia magazijuto fomyula,njaa ndio silaha kubwa kwenye Vita wale jamaa walijificha shimoni kwenye kiwanda waliibuka wenyewe shimoni [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji38][emoji38][emoji38]hiyo clip Ipo ! ?
 
Kwa hiyo uwezo wako wa kufikiri ndio umeishia hapo kuamini kila anayeiunga mkono Russia ni mtu wa dini flani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji38][emoji38][emoji38] Kaa Kwa kutulia , nyie sindio Huwa mnaambiana humu kuwa USA ni super power Russia hana kitu na hakuna madhara yoyote atakavyo leta


Africa itadhurika vipi Sasa wakati boss wenu USA yupo atatupatia msaada
USA wakileta chakula Africa litakuwa janga lingine kwa Africa, akili zitadumaa sana, unaona vijana wengi waliokula mburuga akili zao ziko alijojo
 
Chakula cha Ukraine hasa ngano na pia mbolea nyingi asilimia kubwa zinauzwa Asia na Africa,sasa kwa akili yako ndogo ndio utaelewa nani anaeumia.
Umeskia wapi umoja wa Africa au Asia wakilalamika njaa?

Njaa wanalalamika walioshikwa korodani uko ulaya na magharibi[emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…